Ubinafsishwaji Bandari tatizo la Watanzania ni lugha ya Kingereza, Mkataba upo sawa

Kipengele gani unaona kina matatizo

Hakuna sehemu wamesema mkataba hauwezi kuuvunja?

Hakuna sehemu wamesema mkataba ni wa milele?

Tatizo lipo wapi?

Article 23 na Artcle 20 zipo very clear

Hao wanaopiga kelele hata wakati wa JPM walipiga kelele kuhusu sheria za kulinda rasilimali za Taifa ambazo zilipita kinguvu na bunge

Leo wamegauka eti ile sheria ni nzuri
 
Tatizo lipo wapi?

Article 23 na Artcle 20 zipo very clear


Hao wanaopiga kelele hata wakati wa JPM walipiga kelele kuhusu sheria za kulinda rasilimali za Taifa ambazo zilipita kinguvu na bunge
Ni kweli, hizo articles ziko clear kabisa, ila maana yake ndiyo mbaya. Kama unakubaliana na maana ya articles hizo basi una mapungufu ya uelewa tafsiri za contractual articles ukiwa kama mtanzania au zinakunufuaisha wewe binafsi na hbuna interest na watanzania wengine.
 
Una maana hao mawakili hao 68 ongeza Mzee Warioba, ongeza Dr, Slaa hata Joseph Butiku hawajui English ?
 
Muulize Prof Assad,Tatizo ni lugha
 
amini mwanetu aandike kama articles zinavosema na co kiswahl chake.. Yn wa tz wote mil 60 tushndwe kujua icho kingereza afu ujue wewe tu?
Hata mimi nimejiuliza,ni madarasa kiasi gani yanahitajika kujua hicho kiingereza kilichoandikwa kwenye huo mkataba.
Halafu cha ajabu huyo mtu anayejigamba kuwa mtaalamu wa lugha anachapia na kuandika "Emirates of Dubai" badala ya Emirate of Dubai[emoji1787]

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Sawa mwalimu wa kiingereza,ukikaribisha mgeni kwako sikunyingine aanze kukupangia ratiba za kutoka aanze kuwa na umiliki wa vitu muhimu ndani awe free kutumia sheria zake anazoziona sawa ,milango yote ni yake milele .
Wewe ni zuzu
 
Uko sahihi boss hata Prof Assad amewaambia wengi Wana shida ya uelewe na Wana dance mpira wa Wanasiasa uchwara.
 
Kwahio wachina au wajerumani wakifanya mikataba inayohusu rasilimali zao Mikataba hiyo inakuwa kwa Lugha ya Kingereza ?!!!

Ifike wakati tuelewe kwamba sababu hizi mali ni zetu sisi ndio inabidi tuamue vigezo na masharti...; Pili tatizo hakuna uwazi mpaka pale tutakapojua kabla ni nini watu wachache wanaliingiza Taifa katika Makubaliano yapi tutaendelea Kuifilisi Nchi hii kwa Tamaa za Kizazi hiki na gharama kwa Vizazi vijavyo...
 
Uwekezaji umeanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…