Madumbikaya
JF-Expert Member
- Jun 6, 2018
- 639
- 1,919
Kipengele gani unaona kina matatizoKuna watu maisha yao ni kiingerea; wanakula kiingerea, wanakunywa kiingera, wanvuta hewa kiingerea halafu uwaone kuwa wote hawajui maana ya mktaba huo? Tanzania imeshakumbwa na mikataba hii ya kijingwa kwa muda mrefu na ikatutia matatizoni sana, ndiyo maan watu wenye akailia wanaiweka wazi kusudi huko mbeleni tusijealumiana tena. Majuzi tumeambiwa serikali imeripa pesa nyingi sana kukomboa ndege yake ambayo ilishikiliwa kwa sababu mktaba mmoja mbovu ambao haukuwa na tija kwa nchi ulivunjwa.
Mwekzaji hakataliwi bali mkataba ndio una matatizo. Kama serikali haina wansheria wa kuandika mktaba mzurri kwa niaba ya serikali wao ni ku-intial mikataba inayoandikwa kutoka nje basi wawa husishe waonpinga mkataba huo katioka kuuandika upya. Inawezekana kuna watu wameshatafuna fungu na wanaona ugumu wa kulirudisha iwapo mkataba utabadilishwa!
Hakuna sehemu wamesema mkataba hauwezi kuuvunja?
Hakuna sehemu wamesema mkataba ni wa milele?
Tatizo lipo wapi?
Article 23 na Artcle 20 zipo very clear
Hao wanaopiga kelele hata wakati wa JPM walipiga kelele kuhusu sheria za kulinda rasilimali za Taifa ambazo zilipita kinguvu na bunge
Leo wamegauka eti ile sheria ni nzuri