Ubinafsishwaji Bandari tatizo la Watanzania ni lugha ya Kingereza, Mkataba upo sawa

Kwamba hapa ni uongo?
 
Kwa wewe uliyeuelewa , mkataba unaisha lini?
 
So kwa Wakati mmoja wa Tanzania wote wameshindwa elewa kingereza??
 
Mbwa MKUBWA wewe
 
Mpaka umeweza kuandika hapa ni kwamba huo mkataba unao. Utupie hapa na sisi tuusome ili tujiridhishe na unachokisema
 
Hakuna ubaya kuwapa wawekezaji wa nje. Sisi tumeshindwa tunapuyanga; wizi, huduma mbovu, na hujma ndiyo tunaweza vema pale bandarini. Kwa hili nasimama na rais.
 
Lione kwanza linatetea ukoloni haya ndo masaliti namba Moja,kabinafsishe familia yako
 
kwamba lugha ya kingereza unaijua wewe na mamako pekeenu, ungejua kuwa kingereza sisi wengine ni kama naongea kisukuma au kinyaturu hata usinge sema huo ujinga wako.
 
Mkuu hebu twambie ambapo unaona watanzania hawajaelewa lugha na wewe umeelewa! Sasa ni kipengele hiki tuu?
 
swali ninalojiuliza, kwahiyo tukiwapa waarabu port ya dsm, hatutakiwi kujenga tena bandari ya bagamoyo? kwani bandari ya dsm ni kubwa vya kutosha? au hao jamaa wamekuja kutuzuia sisi kujenga mradi wa bagamoyo ambao ungepunguza sana mizigo inayopitia dubai? nimemwelewa sana Yeriko Nyerere kwenye andiko lake.
 
Kuna siku nusu ya Tanzania watakaa chini na kuanza kukumbuka maneno ya yule mzee wa chato teyari yule dada Alie kuwa akimpinga na kumtukana Leo kashatoa respect kuhusu swala la bandari.
 
Duration inasema ni WA miaka MINGAPI msomi?
 
Wewe ni jínga kabisa,hapa ndio umeandika nini?, pathetic,wewe endelea kupigia debe ulaji wako
 
Kwamba mkataba unavunjwa kwa makubaliano ya pande mbili!!!? Hivi wewe una akili?

Upande mmoja (DPW) usipokubali Mkataba utaweza kuvunjwa?

We mzanzibar pori nenda kale urojo huko; hicho ndio mnaweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…