Ubinafsishwaji Bandari tatizo la Watanzania ni lugha ya Kingereza, Mkataba upo sawa

Mimi nina version tofauti. Tatizo la TZ ni separation of powers kati ya executive and other arms ( legislature and the judiciary)
 
Kwa hiyo kisa mkataba unaweza kuvujwa twende kimbugila mbugila tu, siyo? umeshazijua gharama tutakazotakiwa kulipa endapo sisi ndo tutakao initiate kuuvunja huo mkataba?
 
Wewe ni mjinga wa kuzaliwa. Ni mjinga wa mwisho duniani ndio atakae tetea mkataba huo.
 
You must be joking....and why rushing in such matters of serious repercussion?
 
amini mwanetu aandike kama articles zinavosema na co kiswahl chake.. Yn wa tz wote mil 60 tushndwe kujua icho kingereza afu ujue wewe tu?
Huyu jamaa kiazi sana, hicho kiingereza kina ugumu gani kuelewa........hii nchi ina wanasheria wengi hadi ngazi ya PhD na wamesoma kwa kiingereza tangu sekondari, atwambie ni msamiati gani huo wa kiingereza ambao ni mgumu kueleweka kwa wasomi wa kibongo.​
 
Wewe unaona kubinafsisha bandari Ni SAWA.Acha kuuza Nchi Kwa warabu Wewe mwarabu.
 
Huyu Mutu nimeshangaa Na Mimi mwanasheria nguli
 
Sawa, ni lini basi sisi tutakuwa na uwezo wa kujisimamia kama taifa?
 
Bora babako angepiga bakari nondo mwamnyeto kuleta kutuletea popoma duniani
 
uyu mshkaj ni mshamba cjui katumwa uyu, afu na yeye anajisifia eti kasoma sa cjui elimu yake ina msaada gani. Yan kwamba sisi wa tz wote mil 60 tusijue kingereza ila ajue yeye tu.. Afu et n rahc kuvunja mkataba anajua kama kuna iyo option ya kuvunja mkataba, na hata ikiwepo itatugharimu kiasi gani, ndo yale yale ya kina mond mkataba ukivunja wewe unalipa bilion 1 akivunja yeye anakupa milion 10
 
Huyu jamaa kiazi .​
amini kaka yan kuongozwa na mwanamke changamoto sana. Magufuli alikua anatmia mabavu lakini alikua anatupeleka sehem salama leo mtu anasema n mtu anaefata diplomasia kumbe anatuuza. Tujiandae tu kisaikolojia, our lovely country tuliokua tunaisifia ina amani sasa hv inaingia kwny migogoro na upotev wa aman huku mtu fulani na crew yake washalipwa mapesa kwny ma acc yao na kuahdw maisha mazur nch za nje baad ya kumaliza muda wao. Sisi wanyonge ndio tutabaki tnaumia
 
Gussie.. Kama unahitaj kutoa elimu kwa watanzania na una nia njema kutetea... Ni vzr unge quote mkataba huo ni uwe translated in Swahili kuliko kufafanua individually!!
 
Ni kweli ,Watu wengi humu wanafuata mkumbo

Hizo article hazina shida kabisa
 
Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais, tatizo sio Mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya Kingereza.
Kumbe una akili kama kijiko Mpwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…