Ubinafsishwaji Bandari tatizo la Watanzania ni lugha ya Kingereza, Mkataba upo sawa

Bandari kavu Rwanda ipo under operation na DP WORLD na sisi tunataka kumpa DP WORLD bandari zetu zote apakue mzigo bila sisi kujua. Aje apakue shehena za silaha apeleke kwenye bandari zake kavu huko Rwanda. Najaribu kuwaza usalama wetu utakuwaje na TISS yetu iliojaza UVCCM wa aina ile???????

Nani amewaza kama mimi?????
 
Peleka Uquma huko na wewe.

Wewe umeona kuna mahali inaonesha limit ya muda wa mkataba
 
Sawa mleta mada wewe na mataga wenzio ndio mnajua kiingereza.

Hujui sisi wengine ni graduates wa vyuo bora UK unadhani huko tulikuwa tunafundishwa kwa kihindi..??
 

Una utindio wa ubongo wewe.
Nani kakwambia watanzania hawajelewa mkataba.

Hebu tutafsirie wewe mwingireza tuone labda utakuja na uelewa tofauti na walivyoelewa watz wengine
 

[mention]Covax [/mention] pita hapa upate abc
 
Wapi wamesema bandari inauzwa?

Wapi wamesema huwezi vunja mkataba
Wewe ni mwehu.

Hadi itumike ligha ya kuuza ndo uone kuwa umeuzwa ?

Kuwa na akili wewe ?

Nimekwambia unioneshe ni wapi kwenye mkataba inaoesha huu ni ubinafsishaji kwa miaka mingapi ?

Upo unajing'ata ng'ata tu
 
Hawa chawa hawastahili kuishi
 
Mkuu umewahi fanya biashara kweli wewe?

Unawezaji kuvunja mkataba bila makubaliano
Unajua maana ya kuvunja mkataba kweli wewe? Mimi nimeamua kuvunja mkataba alafu nakubaliana na nani? Yaani nianze kukubaliana na ninaetaka kuvunja mkataba nae? Akikataa??

Kuvunja mkataba maana yake ni kuacha kutekeleza kilichopo kwenye mkataba, uwe na sababu au bila sababu. Mkataba unatakiwa umpe haki mtu kuvunja mkataba na uhainishe vigezo au nini kitatokea iwapo.mmoja atavunja mkataba.
 
[QUOTE="The Boss, post: 46741791, member:
Wapo USA' ....[/QUOTE]
Acha kupotosha wewe, huko USA pamoja na Rais wa wakati huo George Bush kuwapigia promo, walikataliwa kwa kura 62-2!
 
Hasara itabebwa na nani?
 

1 Vyama vya serikali vinakubaliana kwamba DPW itakuwa na haki pekee ya kukuza, kusimamia, na/au kuendesha mradi kama ilivyoelezwa katika kiambatisho 1 hatua ya 1, moja kwa moja au kupitia washirika wake chini ya makubaliano haya kama itakavyoelezwa zaidi katika makubaliano husika ya mradi na makubaliano husika ya HGAs.

Kujua kutafsiri siyo shida shida haya ni mambo ya SHERIA wanasheria watusaidie
 
Basi tuwalaumu wananchi kwa kuweka mitaala mibovu ya elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…