thatfunnyboy23
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 850
- 1,134
Umesoma mkataba?
Mkuu kama unao huo mkataba naomba niusome tafadhali🙏🙏Hilo linaeleweka binadamu wote atuwezi kuwa na mtazamo sawa.
Muhimu ni kuhakikisha hitimisho lako la kukataa ni kutokana na kupitia habari sahihi. Sio kwenda kwenye mijadala ya space moderator anaepinga uwekezaji hajui hata ‘berth’ ni kitu gani.
Provided wewe mwenyewe umejiridhisha kwa kupitia facts, mimi nani nikulazimishe kukubali.
Tuambie na unapovunjwa fidia yake inakuwaje?ELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza kwenda Kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo.
Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri Kingereza kwenye lugha zao mama, halafu baadae kutafasiri kwenda Kiswahili!
Article 23 kati ya Mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF.
Article 23 inazungumzia Termination and Duration, hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba. Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili, ndio kilichoandikwa.
Artcle 20 inazungumzia dispute settlement, Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate Sheria za Kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa Kingereza, yafanyike Johanesburg Afrika ya Kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi.
Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais, tatizo sio Mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya Kingereza.
Una utindio wa ubongo wewe.
Nani kakwambia watanzania hawajelewa mkataba.
Hebu tutafsirie wewe mwingireza tuone labda utakuja na uelewa tofauti na walivyoelewa watz wengine
mbona mkataba wote uliishawekwa humu ndani?search utaupata.Mnatupa article 2 tu, weka mkataba wote ili nasi tupate fulsa ya kuusoma
We chawa wa marehemu na uko hai? Kwanini usimfuate. Nchi hii ni yetu sote yule wa kwako hayupo na nchi lazima iendelee. "Kazi iendelee"Naona chawa wa mama mpo kazini. Hongereni kwa kazi nzuri.
We huo wa kwako mweleze mamakoHuu upumbavu wako kawaeleze wanao.
Mwenye tatizo kubwa kwenye hicho kiingereza, lazima.mojawapo ni wewe.ELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza kwenda Kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo.
Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri Kingereza kwenye lugha zao mama, halafu baadae kutafasiri kwenda Kiswahili!
Article 23 kati ya Mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF.
Article 23 inazungumzia Termination and Duration, hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba. Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili, ndio kilichoandikwa.
Artcle 20 inazungumzia dispute settlement, Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate Sheria za Kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa Kingereza, yafanyike Johanesburg Afrika ya Kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi.
Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais, tatizo sio Mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya Kingereza.
Usijiona unajua sana kumbe wewe ni kisoda kwenye pipa.Hakuna ata hiyo mikataba, as yet. Hiyo ni framework tu. Ata hiyo agreement inataka HGA zikisainiwa ziwe siri.
Mambo wanayopigia kelele Article 20 na 23; ni mambo ya kawaida if anything ni aspects za ‘stabilisation clauses’ ata sijui kwanini wameziweka tofauti.
Na hakuna mkataba wa kimataifa popote duniani usio na ivyo vipengele. Nimeskiliza Lissu contract
law inaonekana is not his thing, maelezo yake yana upotoshaji mkubwa. Sio kwa makusudi, ila uelewa.
Nakubaliana nawe kuwa wenye matatuzo ya uelewa mpo wengi sana.Shida ni watu ambao wanasoma bila ya background knowledge, article 23 (4) inaelezea uwezi kuvunja mkataba kiholela.
Article 20 inaelezea taratibu sahihi za kufuatwa kunapo migogoro kwanza inapendekezwa diplomatic dialogue, ikishindikana ndio baraza la usuluhishi S.A; hiyo sehemu uchaguliwa na kukubaliwa na pande zote.
Shida ni uelewa tu
Huyu ni mwanasheria koko. Hajui kuwa kuna sheria inayozuia migogoro ya kiuwekezaji kuamliwa na mahakama za nje ya Tanzania. Halafu anajifanya eti ni mwanasheria.tatizo si lugha kama unafikiri hivyo basi wewe ndo unatatizo.huwezi kugeneralize kwamba watz hawajui lugha na ati kiswahili hakijitoshelezi hiyo ni fikra finyu.hizo article ulizozitaja tayari zina matatizo.kwa nn setlement ifanyike nje ya nchi na siyo ndani ya nchi!huko nje ndo tunakopigiwa hiyo mikataba.na kwa nini serikali inaulazimisha huo mkataba?kama kuna tatizo la uendeshaji kwani hawaezi kufanya maboresho mengine badala ya kubinafsisha?historia inaonyesha kwa tz ubinafsishaji unapofanyika huwa hautuachi salama na mifano ipo,TICTS nk.haya makampuni ya waarabu huwa hayalipi wananchi wetu ujira mzuri na hilo liko wazi kabisa.kama wananchi walalamika huyo mradi uachwe kwa sababu bandari ni mali ya watz.kagame aliishatukejeli kuwa angepewa yeye hiyo bandari hata kwa siku tatu tungeona maajabu.aliishatujua watz ni wapigaji tu na hatuna uchungu na hii nchi.
Upo sahihi kabisa. Kwa watu makini, mkataba ulistahili kuainisha ni mambo gani yatasababisha termination ya mkataba kabla ya muda wa uhai wa mkataba. Lakini mpaka sasa hakuna hata muda wa uhai wa mkataba.Kuvunjika kwa mkataba maana yake ni matokeo ya kutofautina hivyo hakuna makubaliano. Kama hukuna makubaliano inawezekana vipi tena makubaliano ya pande mbili ndio ya uvunje huu mkataba???
Ingetakiwa iwe hivi mkataba utavunjika kwa sababu ya kutokubaliana kwa pande mbili. Baada ya hapo zianishwe sababu zote za kushindwa kukubaliana kama vile mkandarasi kushindwa kufikia ufanisi wa utendaji nk nk nk.
Mkataba unakuwa je na kipengele eti mali za mkandarasi hazitataifishwa, Mambo ya ajabu sana haya kama kunafidia anatakiwa alipe na akashindwa ama kukaidi kulipa, unafanya nini ukikatazwa kutaifisha mali??? Kama ni kweli kuna hivi vipengele ndani ya huu mkataaba basi walio uandaa walikuwa ni watu wasiojali maslahi mapana ya nchi/Watanganyika.
Walikuwa na mitazamo na zile akili za kudharau, wakisema hivi vitu vya machogo haituhusu kutilia maanani na umakini kihivyo. Tuna uchungu gani hata hivyo zaidi ya maslahi yetu binafsi.
Unaamua kuandika chochote ulicho nacho kichwani!!Hakuna mkataba usioweza kuvunjwa, ila sio kila contract breach ni ya kuvunja mkataba.
Kuna two main breaches:
Conditional: ambayo ina deprive one part main contractual agreement. Mfano umeahidi kuleta vifaa miaka miwili hakuna kitu. Hapo unaweza vunja mkataba.
Warranty: umeahidi kufanya kazi kwa miezi sita; umechelewa. Hiyo sio sababu ya kuvunja mkataba ni kudaiana fidia tu.
Kwa ivyo material breaches inaweza kuwa sehemu ya warranty pia; na nyingi sababu zake sio kuvunja mkataba.