Ubishi kuhusu share za Wasafi Media naona umeisha sasa

Kijana kajitahidi ingawa ndo kishauza brand, hiyo 450 anayopata bado hajagawana na kina babu tale, salaam, mkubwa fella n.k. Ajitahidi siku moja amiliki kitu chake kwa asilimia mia.
Wew huelewi. Ishaambiwa hiyo 45 ni under diamond's name alafu unataja kina babu tale. Hizo 45 sio group share ni personal share
 
Hiyo inaitwa risk sharing mkuu. Ina maana hata kampuni ilipata hasara mnapata wote. Huwezi miliki peke yako alafu ukipata hasara unapata wew tu
 
Domo anajua kucheza na mitandao.
 
Kijana kajitahidi ingawa ndo kishauza brand, hiyo 450 anayopata bado hajagawana na kina babu tale, salaam, mkubwa fella n.k. Ajitahidi siku moja amiliki kitu chake kwa asilimia mia.
ambayo itamfanya amiliki kitu kidogo, hivi unadhani waanzishayo makampuni ambayo baadae wakuja wanamiliki hisa nyingi zaidi n wapumbavu!!!

wanafanya hivyo ili kuwa na kitu kikubwa
 
Ila kusaga ndo mwenye Sauti...! Kama aligombana na ndugu zakee bhasi ipo siku watagombana na diamond piaa pesaa mwanaharamuu... Diamond hayupo salama kabisaaaaa yani aache kujifanya mjanja.
Kusaga anamuhitaji zaidi diamond kwenye biashara kuliko diamond anavyomuitaji kusaga imagine akiondoka diamond ikawa Kusaga tv itakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…