Ubishi kuhusu share za Wasafi Media naona umeisha sasa

Ubishi kuhusu share za Wasafi Media naona umeisha sasa

Ujitaka.kuwa na kampuni yenye mafanikio usimiliki peke yako. Hata sheria za tz haziruhusu jambo hilo. Babu tale na fella ni mameneja wanalipwa mshahara ndio baadaye faida inapatikana kwenda kwa wamiliki.
hahahahaha mkuu acha porojo
 
Umaskini unawasumbua, mimi mwenyewe tajiri namiliki kampuni yangu kwa asilimia 100. Acheni mawazo ya kimaskini.
Kwa mfano una kasaluni kako hapo saluni una mfanyakazi mmoja au wawili.. mapato ni laki moja 100% ukitoa mishahara na kodi tayari sio 100% hivyo kuna sehem ya asilimia kadhaa utatoa ili kulipa mishahara na kodi hapo tayari huo umiliki wako asilimia 100 utabakia jina tu lakini kipato halisi ni chini ya 100%.ambacho ndio utabakia nacho.
mwache DAIMONDI apate anachopata ila ataendelea kujulikana ni mmiliki mmojawapo wa WASAFI.
 
Watanzania huwa wanataka kila mtu aishie kuwa maskini..yani wanatamani chibu nae aje awe kama kina feruzi
Hilo ndio tatizo lao hawaamin kama diamond na yeye anaweza kuwa na mafanikio makubwa regardless alipoanzia, Kesho wanakuja why hawasaidii masikini utasaidiaje while mmesema anamilik asilimia 2 shubaamit zao.
 
Mkuu kwa faida ya wengine;
Cost of production hapa haimhusu Diamond. Hii gharama ya uzalishaji inatolewa kwenye mapato (sales) za kipindi husika.
Gharama ambayo Mondi atakatwa ni kodi ya gawio (dividend) ambayo kitaalamu inaitwa "With holding tax".
Yeye ni mwanahisa, baada ya kulipa gharama zote ikiwemo na kodi ya makampuni/mashirika kitaalam inajulikana kama "corporate tax", utaitishwa mkuu (AGM) kwa lengo la kukubaliana kama kuna ulazima wa kutoa gawio kwa mwaka husika au la. Wakikubaliana kutoa gawio ndiyo kila mwenye hisa atapata kulingana na idadi ya hisa zake na kila gawio litakatwa with holding tax ya 5%.
Sawa kabisa...at the end of the day.. ni swala la faida....zikiwa nyingi ndivyo wanahisa wanavyopata zaidi...na vice versa is true..kama faida haikupatikana mwanahisa hapati gawio
 
Back
Top Bottom