Ubishi wa nani mkali kati ya Aziz Ki na Chama si umeisha leo, au bado?

Ubishi wa nani mkali kati ya Aziz Ki na Chama si umeisha leo, au bado?

Kwa mpira wa yanga lazima atumie nguvu nyingi sana tena mno..uchezaji was simba hauhitaji maguvu mengi. ..Aziz ki nimzuri sana ilasikumzidi Chama kimaarofa ila angekua Simba kungekua na combination ya ajabu sana..
He has to use miguvu Kwa uchezaji wa yanga
 
Utasikia mara ooh Azizi ki ana ku-offer vitu vingi uwanjani, yaani bla bla kibao. Labda kwenye hivo vitu vingi ni pamoja na kutema mate [emoji1787]
😆😂 Nilikuwa naona aibu sana kubaini kwamba hii nchi hatuna wachambuzi kabisa;kwamba Aziz alingane na Chama? Hapa East and Central Africa hakuna wa kulingana na Chama aisee.
 
Kwa mpira wa yanga lazima atumie nguvu nyingi sana tena mno..uchezaji was simba hauhitaji maguvu mengi. ..Aziz ki nimzuri sana ilasikumzidi Chama kimaarofa ila angekua Simba kungekua na combination ya ajabu sana..
He has to use miguvu Kwa uchezaji wa yanga
Usimfananishee chamaa na huyoo Domolepee wenuuu.

Muache Triple C wetu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa sasa aziz ki tumlinganishe na said hamis ndemla maana wote wana mashuti makali sana
 
eduku mwembe nachambua hii

"aaa azizikii soofaa anamzidi Chama kwa mikimbio mizuri
anafriikiki Kali Sana mfano alivyo mdungua manula

nauwanjani azizi anakuofa vitu vingi hasa timu ikizidiwa Soo Mimi naona azizi nibora kuliko Chama"
ambangile nae aje achambue kabla ahmedi hajaja kugongea msumari kwamba azizi nibora kuliko Chama🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom