Ubishi wa nani mkali kati ya Aziz Ki na Chama si umeisha leo, au bado?

Ubishi wa nani mkali kati ya Aziz Ki na Chama si umeisha leo, au bado?

eduku mwembe nachambua hii

"aaa azizikii soofaa anamzidi Chama kwa mikimbio mizuri
anafriikiki Kali Sana mfano alivyo mdungua manula

nauwanjani azizi anakuofa vitu vingi hasa timu ikizidiwa Soo Mimi naona azizi nibora kuliko Chama"
ambangile nae aje achambue kabla ahmedi hajaja kugongea msumari kwamba azizi nibora kuliko Chama🤣🤣🤣🤣🤣
Ndo ''Wacha mbuzi" wetu tulionano. Halafu anajifanya wana 'jicho kali' la soka.Jicho kali?labda lile la chini.
 
eduku mwembe nachambua hii

"aaa azizikii soofaa anamzidi Chama kwa mikimbio mizuri
anafriikiki Kali Sana mfano alivyo mdungua manula

nauwanjani azizi anakuofa vitu vingi hasa timu ikizidiwa Soo Mimi naona azizi nibora kuliko Chama"
ambangile nae aje achambue kabla ahmedi hajaja kugongea msumari kwamba azizi nibora kuliko Chama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mazuriii vileee lol
 
Back
Top Bottom