Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
- Thread starter
-
- #61
Ndio huwa inavyokuwa mkuu ukifuatilia dalili za kusepa zinajulikanaYeah, alianza kuwanywesha pombe marafiki zake, akalipa madeni, akawa mwenye furaha Kisha akatangulia mbele ya haki.
Tunavyozungumza hatuko naye.
Ngoja Nile maisha ilikusudi nikiona hizo dalili nitubu.Ndio huwa inavyokuwa mkuu ukifuatilia dalili za kusepa zinajulikana
Hiyo ni favour kwa wale watakaobahatika kuugua kwa muda mrefu bro!Ngoja Nile maisha ilikusudi nikiona hizo dalili nitubu.
Simple like that.
Hahaha 🤣 hatari mno.Hiyo ni favour kwa wale watakaobahatika kuugua kwa muda mrefu bro!
Ukipigwa buyu na boda kwenye rout fupi fupi za town au sijui na Sauli huko mikoani hiyo ni instantly kwa Sir God kwenda kuulizwa.
😂Unaogopa kufaNgoja Nile maisha ilikusudi nikiona hizo dalili nitubu.
Simple like that.
Siogopi hata kidogo, ila naogooa mchakato wake (maumivi ya wakati wa kukata roho)😂Unaogopa kufa
😂Hata mgonjwa huogopa kabla ya kuchomwa sindano ila ukishapigwa sindano moja unatuliaSiogopi hata kidogo, ila naogooa mchakato wake (maumivi ya wakati wa kukata roho)
Wakati nakufa nitaumia ila nikishakata roho nita enjoy.😂Hata mgonjwa huogopa kabla ya kuchomwa sindano ila ukishapigwa sindano moja unatulia
Kifo ni kifo tuKIFO NI FUMBO MKUU
kabla ya kuzaliwa hiyo nafsi iliishi wapiUbongo ni sehemu ya mwili yaani physical part, mwili ukizima probably na ubongo nao unazima.
Sijui kama unaamini katika spirituality, Kama unaamini basi utakuwa unafahamu kwamba nafsi ndyo haifi na itaishi milele hata baada ya mwili kufa.
cha imani za kipumbavuuislam ulilijua hili kitambo sanaa.mtu akifa anasikia kila kitu na hata akiws anapiga kelele kwa adhabu.wanyama na watoto wachanga wanamsikia.ila ndo hivyo ameshakwenda
umeyajuaje haya mkuuDalili za kawaida kabla ya kifo:
1. Kupungua kwa hamu ya kula na kunywa
2. Kupungua kwa nguvu na nishati
3. Mabadiliko ya kupumua
4. Mabadiliko ya ngozi
5. Kupungua kwa mapigo ya moyo na shinikizo la damu(pressure)
6. Kuharibika kwa mzunguko wa damu
7. Kupungua kwa fahamu au kuchanganyikiwa
8. Kupoteza uwezo wa kudhibiti mkojo na kinyesi
9. Kuzama katika usingizi wa muda mrefu
10. Kupungua kwa maumivu
Dalili za Near-Death Experiences (NDEs):
1. Kuhisi kutoka nje ya mwili
2. Kupita kwenye handaki lenye mwangaza
3. Hisia ya amani na utulivu
4. Kukutana na watu waliokufa
5. Kuwa na mawasiliano ya kiroho
6. Mapitio ya maisha yao yote
7. Kuhisi kutokuwa na mwili
8. Uamuzi wa kurudi au kuendelea
9. Kusikia sauti za ajabu
yap unakumbuka mkuu ikipigwa bastola karibu utajua tu hata ukilala vp ,au unamaanisha kukumbuka nini? ukingatwa na nge utaamka tu maana akili inafanya kaziIngekuwa hivyo, ingelikuwa rahisi kukumbuka yaliyokukuta usingizini
hata kama hujalala unaweza kuibiwa bila kujuaUkilaka akili haifanyi kazi ndiyo maana unaweza kuibiwa bila kujua
sujaangalia hii hata kama hujalala huwezi kujua kila kilichotokea saa tisa usiku ila ukipigwa mbata la uso utajuaSwali tu, saa tisa na dakika 5 usiku, ilikutokea nini?