Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Alimpa Akasema Rostam Jiandae Jimbo HiliWewe ni rafiki yangu ila kwabili hapana
Huyu Watu Wa Morogoro Mlipaje Ubunge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alimpa Akasema Rostam Jiandae Jimbo HiliWewe ni rafiki yangu ila kwabili hapana
Nilisikia msomi Mwandosya naye aliuza TTCL baada ya mtoto wake kupewa scholarship. Huyo anaitwa profesa, msomi aliyetaka urais. Nchi hizi unapokuta rais ni mwizi, nani mwingine atalinda mali ya umma?Mbongo yuko radhi aharibu miundombinu ya billion 100 ili apate fida binafsi ya mils 5, kiongoz anakuwa tayari kuuza mali ya nchi ya bils 500 ili apewe v8 na mtoto wake asome nje.
Hizi ndizo akili zetu
Ukistaajabu ya Moro utayaona ya Mwanza, Musoma na Bukoba Ziwa liko mita sifuri.Just imagine Moro kuna vyanzo vingi vya maji lakini wanachi wake wanaweza kosa maji hata wiki nzima
Halafu kitaa magari ya idara sijui wafanyakazo binafsi wanauza maji .
AWESO shtuka hao morowasa wakazie moja kati idara mbovu mbovu Sana hapa nchi
Teh Teh Haa HaaUkistaajabu ya Moro utayaona ya Mwanza, Musoma na Bukoba Ziwa liko mita sifuri.
Aweso ni bomu. Amekula rushwa wizara ile pale Morogoro kwa kumtumia afisa bonde, leo hii ataeleza nini?
Jiulize Udizungwa iko Moro,bado mto Ruvu source yake inatokea Matombo Moro,inatia hasiraBora hayati angekuwepo kwa huu uzi tu kuna mtu ofisini asingekuwepo sasahivi!
Watu wanapiga hela manina haina namnaNilifika moruwasa nimeona mabomba mengi sana na yanaonekana yamelala muda mrefu sana sijui ya mradi gani?
Ila matatizo ni wabunge na madiwani wetu kutokuwa tayari kupigania nafuu ya maendeleo ya wananchi.
Ni kweli wenye bowser kipindi hiki cha kiangazi wanapiga sana hela,yaani lita elf 2000 tunalipia 40000.yaani ni zaidi ya bili ya kawaida kwa mwezi.
Sasa emagine lts 2000 tunanunua kila wiki.kwa mwezi ni zaidi ya 120000 kwa hii September na October.
Ni kweli hao wenye bowser wananunua kwenye bomba rasmi la moruwasa na wanavibali maalum.
Ila wengi ni wasoma mita na wenye taaluma ya uinjinia wa maji hawafanyi utafiti kwa nini maji hayafiki baadhi ya maeneo.
Ila toka march 2021 bado tu mfadhili haja toa majibu?
Je kweli kuna dhamira ya kutatua kero?
Raisi usipokuwa mwizi unachukiwa maana huta support shughuli za wiziNilisikia msomi Mwandosya naye aliuza TTCL baada ya mtoto wake kupewa scholarship. Huyo anaitwa profesa, msomi aliyetaka urais. Nchi hizi unapokuta rais ni mwizi, nani mwingine atalinda mali ya umma?
Huo mchezo wanaoufanya MORUWASA uko nchi nzima. Wanaotakiwa kutoa huduma ya maji wanaharibu utaratibu halafu wao wanajidai kutoa huduma hiyo. Mulugo akiwa naibu waziri wa elimu naye alifahamika kuanzisha shule yake. Rais anajiingiza biashara ya umeme badala ya kusimamia taasisi za serikali. Madaktari pale Muhimbili wanaharibu machine za tiba halafu wanakuelekeza uende upanga maabara fulani. KIla wakati nasema Magufuli was correct and right!
Na yeye ndio mmiliki wa hizo boza za maji unapata picha gani hapo mkuu,hii nchi imelaaniwa kwa kweli sijui kama waafrika wenzetu nao wanapitia hizi shubili.Baba Jesca Alimtimua Abood Kwa Maneno Makavu
Kazi Kuleta Bus Watu Wakifa Ukazike
Viongozi wa CCM mkoa wote kawaweka mfukoni kwakeAbood ndio zake kutoa mabus kwenye misiba ila kutatua matatizo mengine ya wananchi kazubaa sana. Sijui kwanini alipata kura
Mjini wanatoa maji milimani kuleIla mjini maji si yapo kule mazimbu?
Sure kabisaMabomba ya morogoro yanaongoza kwa kutoa maji macha
Fu,mautando,mapukupuku wakati mwingine shombo la samaki