Ubora wa ndege vita za China waonekana katika vita ya Pakistan na India

lkn India wenyewe ndio inajipendekeza kwa Wazungu wa West
Yeah India imeanzisha ugomvi halafu inaomba mataifa ya West waingilie kati kwa kuishutumu Pakistan WTF!

Hapa Marekani ana hesabu kali sana asije kuingilia huu mgogoro na ndege zake za F series halafu zikaja kuangushwa na za China

Hilo litakuwa pigo kubwa sana kwa U.S Military Industrial Complex na mauzo ya silaha za Marekani duniani

Kilichoitokea Rafale lazima kitawafanya Westerners wawe na wasiwasi sana kuhusu ubora wa silaha zao ukilinganisha na za China

Hii battle ya India na Pakistan itafunua mengi sana kuhusu capabilities ya Mchina

​
 
Sasa hii ndio proof ya kuangushwa ndege 5 ?
 
Sasa hii ndio proof ya kuangushwa ndege 5 ?
Pitia vizuri huu uzi utaona kuna sources watu wameweka

Niliweka source kutoka CNN makusudi sio kwamba sikuona zingine

Najua huyo aliyeuliza mind yake ikoje hasingekubali chanzo nje ya chanzo cha kutoka nchi za Magharibi

Then soma hicho chanzo kutoka CNN kwa umakini pamoja na vyanzo vingine vilivyowekwa humu
​
 
Silaha ya china yenye thamani ya dola mili 4 ni sawa na silaha hiyo hiyo ya marekani yenye thamani ya dola mil 20 ..hivyo ukiona silaha ya china inauzwa nusu bei ya ile ya Marekani basi tambua hiyo ya china ni bora mara 2 hadi 3 ya hiyo ya marekani
 
Zitakuwa zimeangushwa hapa JF
 
Walioanzisha mgogoro ni Pakistan na sio India. https://edition.cnn.com/world/live-news/india-pakistan-attack-kashmir-tourists-intl-hnk
Hakuna tatizo kuwa na ushabiki kwa upande fulani lakini ili maoni yako yawe respected, ondoa uchawa na stick to the truth. Ndio maana unajiita Xi Jinping.
Nimesoma vyanzo vyote hakuna hata kimoja kinachotoa proof ya kuangushwa ndege tano.
 
Nimeambiwa Pakistan ndiyo inaongoza kijeshi duniani ikifuatiwa na Marekani na Russia ni yatatu
 
India shikilia hapo, hawa hujifanya na ubabe wa kupigana na dunia, imebaki Iran sasa.
 
Mkuu hao wanabisha kishabiki tu. Kwanza wajiulize toka lini ndege uipige Tanga ikadondokee dar?. Yaani uilipulie Pakistan ikadondokee India. Mbona uongo wa asubuhi subuhi huu.
 
Mkuu ukifikilia kwa akili kubwa utajua ni uongo. uwezi itungua ndege Pakistan ikadondokee India. Mpumbavu pekee ataamini usanii huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…