KERO Ubovu wa Barabara unaathiri ratiba ya Wanafunzi wanaoenda Shule Maghweta na Matomondo Mkoani Dodoma

KERO Ubovu wa Barabara unaathiri ratiba ya Wanafunzi wanaoenda Shule Maghweta na Matomondo Mkoani Dodoma

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Mkoa wa Dodoma njia haipitiki, ni hatari jamani warekebishe barabara basi, hata wanafunzi hapo hawawezi kwenda shule.

Hali ya ubovu imeongezeka tangu mvua zilipoanza kunyesha takribani mwezi mmoja sasa, Wanafunzi wamekuwa waathirika wakubwa wanashindwa kwenda shule kutokana na Barabara kuharibika na vyombo vya usafiri kushindwa kupita.

Wanafunzi wanaopata tabu hasa ni wale wanaosoma Shule ya Sekondari Maghweta na Shule ya Sekondari Matomondo, zipo Wilaya ya Kogwa na Mpwapwa.
 
Back
Top Bottom