Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,666
- 847
Eti eeeh . . .basi mwaka huu wataisoma nambaKuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CCM kuhusu uchaguzi huu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti eeeh . . .basi mwaka huu wataisoma nambaKuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CCM kuhusu uchaguzi huu!
Unazungumzia wale walioenda kuunga mkono juhudi kwa ushawishi wa pesa? Sikujua kama kuna daydreamer, acheni hizo buku tano za Lumumba zinawafanya muonekane vituko
Kuna zawadi yako kutoka kwa Gambo hapa.Lema kwa kweli ataweza kushinda ila Arusha watakosa tena mwakilishi .
Lema ana mambo ya kitoto sana.
Ana lugha za kujisifu sifu kama mvuta bhangi tu.
Japo tunahitaji wapinzani wengi Bungeni na hata kushinda urais lakini kuna wapinzani wana mambo ya kujinga kijinga Momoja wapo akiwa ni Lema.
kwa hiyo na wale waliomchagua kura za maoni sio wana CCM? kumbuka alipata kura 300 na anaemfuata kura 60Huyo muuza vitumbua wa ilala labda ashinde ubunge hapo ccm mkoa,chamani hawamtaki yupo kama yatima...anahudhuria mpka mbesi za wamama sijui nae ni mama
Alinunua wapiga kura,kwahiyo pesa yake ndio ilimpa kura za wajumbekwa hiyo na wale waliomchagua kura za maoni sio wana CCM? kumbuka alipata kura 300 na anaemfuata kura 60
Moja atavaa yeye ingine mkewe,mimi natoa ofa ya kumlipia zingine 24 yeye na mkeweKuna zawadi yako kutoka kwa Gambo hapa.View attachment 1573604
siasa za majukwaani siku hizi zimepitwa na wakati, siasa zinafanyika kupitia vikundi vya watu mitaani na kwenye shughuli. Gambo yuko active na atashinda kwa kishindo. lema toka ashinde ubunge 2015 hajaonekana tena mpaka sasa ivi ndio anaonekana, Lema hawezi kushinda kamwe. Gambo amesaidia watu wengi na aliyofanya yanaonekana,binafsi sikudhani Gambo angekuja kukosa mvuto kiasi hiki! kabla hata ya mchakato wa ubunge wengi tulidhani Gambo ndie mtu sahihi kwa chuga, ila mambo naona yamebadilika kiasi kwamba hatuoni Gambo akitoboa kwa Lema. kwanza hata kampeni zake huwa sijui anafanyiaga wapi maana kapooza kweli kweli
wajumbe 300? ni bilionea? pesa alitoa wapi?Alinunua wapiga kura,kwahiyo pesa yake ndio ilimpa kura za wajumbe
Umeandika yaani Mtu akisoma anasema Mrisho kaisha kweli. Hahahaha mwisho wa siku Mrisho anaibuka Kidedea kama ilivyokuwa kura za Wajumbe. Kishindo tu. Mrisho ndio Mbunge makini atakuwa.
Double cola ndio alikua mkusanya pesa hilo tunajua,yeye ni gunia la msumari kwa ccm nguvu inatumika ila hauziki...ccm arusha nawajua kimwili wako nawe kiroho hawana time nawewajumbe 300? ni bilionea? pesa alitoa wapi?
Una mihemko nani kakuambia mimi ni CHADEMA? Umekosa la kusema? Iq kama ya kukuwhether ni buku tano ama ni hiari yao haibadilisha maana kwamba chama chenu ni cha ajab sana! wanachama gan wanawasaliti kwa sababu ya pesa, utu wenu uko wap kama chama! kwa njia yoyote unaotaka kujitetea bado haibadilishi maana ya kwamba chama cheni ni hovyo kabisa na hakina msimamo
mm mpaka leo sjui chadema wanakuja kutatua nn kwenye siasa maana wao wanasubiri magu aongee then wajibu,