Uchaguzi 2020 Ubunge Jimbo la Ubungo: Boniface Jacob aweka pingamizi dhidi ya Prof. Kitila Mkumbo kwa madai ya kukosea kujaza fomu

Hahhahahahaha naona chadema wanakuja na mbinu ya kupitia madirishani kama unapendwa why usiache box la kura lifanye kazi yake mnakuja na vipingamizi vya kipuuzi haya ngoja tumsubiri huyu mlemavu mwingine tuone anamuwekea pingamizi nani.
Kwahiyo kule kwa nape na majaliwa ilikua kuna nini kweli Jana tu umesahau yaliyotoke nimeamini kama zidumu fikra za mwenyekiti
 
Hahhahahahaha naona chadema wanakuja na mbinu ya kupitia madirishani kama unapendwa why usiache box la kura lifanye kazi yake mnakuja na vipingamizi vya kipuuzi haya ngoja tumsubiri huyu mlemavu mwingine tuone anamuwekea pingamizi nani.
Heri ya mlemavu wa miguu kuliko mlemavu wa akili. Umetumika kiungo gani kuandika!
 
Ndio sasa waone raha ya mapingamizi na si kuwa na sheria, taratibu au kanuzi zinazoruhusu wagombea kufanya marekebisho au kupewa nafasi ya kujaza form nyingine na mapingamizi yabaki tu kwenye serious isssues kama za uraia, n.k na si makosa madogomadogo kama ya ujazaji fomu kwa usahihi.

Mchimba kisima huingia mwenyewe.
Watavuna wanachopanda
 
Hahhahahahaha naona chadema wanakuja na mbinu ya kupitia madirishani kama unapendwa why usiache box la kura lifanye kazi yake mnakuja na vipingamizi vya kipuuzi haya ngoja tumsubiri huyu mlemavu mwingine tuone anamuwekea pingamizi nani.
Ni makosa kumukejeli mtu kwa ulemavu, maumbile, marehemu. Kwani hujui kesho yako. CCM hatutaki wapuuzi kama wewe. Una lengo la kuwanyima wagombea wetu kura za walemavu hasa wanaoingia forum hii.
 
Spirit ya sasa [CCM na serikali yake] ni ya kuviziana kwenye uchaguzi. Niliandika asubuhi ya kuwa hata ile ya kutaka wadhamini 250 kila jimbo majimbo 10 ni kupotezeana wakati na scarce resources. Issue ya maana je ni raia, anachama kilicho mpendekeza, ni mtu mzima? Mtu picha tu haionekani basi unamuengua kwa nini asililete nyingine iliohakikiwa na chama chake. Sasa kama ulivyosema mkuu ngoja na wao wakivae kiatu nio watajua utamu wake.
Spirit ni kuwapatia wananchi wagombea bora, spirit ni kuwapa wananchi nafasi ya kuchagua, spirit ni kuifanya kura ya mwananchi iwe na thamani. Wakienda kwa hilo watu wataenguliwa kwa kile kisichorekebishika tu.
 
Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Boniface Jacob amemuwekea pingamizi mgombea wa CCM Prof. Kitila Mkumbo akitaka msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo kumuondoa Prof. Kitila kwa kile alichodai kukosea kujaza fomu za uteuzi.

Huyu Mgambo wa wapi?
 
Ni makosa kumukejeli mtu kwa ulemavu, maumbile, marehemu. Kwani hujui kesho yako. CCM hatutaki wapuuzi kama wewe. Una lengo la kuwanyima wagombea wetu kura za walemavu hasa wanaoingia forum hii.
Unaonekana ww hujui leo nikitaja wasihi wako mfano mrefu ,mweusi,mfupi etc je ninakuwa ninekudhalalisha? Je tunapowaita ndugu zetu walemavu wa ngozi albino tunakuwa tunawadhalalisha na je ulemavu ni kosa au jinai? Na je Lissu si mlemavu wa mguuu? Acha kuwa na akili za kushikiwa ww
 
Hahhahahahaha naona chadema wanakuja na mbinu ya kupitia madirishani kama unapendwa why usiache box la kura lifanye kazi yake mnakuja na vipingamizi vya kipuuzi haya ngoja tumsubiri huyu mlemavu mwingine tuone anamuwekea pingamizi nani.
Nani kaanza kutaka kupitishwa bila kupingwa na kuweka mapingamizi.
Usikurupuke kuandika.
Kashamwekea mjomba wako huko.Mpaka mjifunze kuheshimu sheria na taratibu.
Vipi hawajakupa tender ya kuiba sanduku la kura,mmeshaonyeshwa mfano ukerewe, endeleeni tena.
Kama jaribio kuiba form mtu wamemsandwitch na "majiwe" ukibeba sanduku la kura je?
 
Prof. hawezi kosea kujaza fomu. Bonny anaweweseka!
Mkuu ni haya haya ya kusema wagombea wa upinzani peke yao ndiyo hawajui kujaza fomu. Fomu za kisheria ni rahisi sana mtu kuzikosea kujaza na ndio maana inatakiwa kuwe na room for corrections. Hata maprofesa hukosea na ukumbuke una fomu moja tu. Tatizo ni fomu zinapotumika kama mtego wa kukomoana. Sasa itokee kweli kuna kitu kakosea, anaepoteza ni nani? ni yeye au wapiga kura wake au wote?
 
Nani kaanza kutaka kupitishwa bila kupingwa na kuweka mapingamizi.
Usikurupuke kuandika.
Kashamwekea mjomba wako huko.Mpaka mjifunze kuheshimu sheria na taratibu.
Vipi hawajakupa tender ya kuiba sanduku la kura,mmeshaonyeshwa mfano ukerewe, endeleeni tena.
Kama jaribio kuiba form mtu wamemsandwitch na "majiwe" ukibeba sanduku la kura je?
Hv leo tukisema tuanze kuwekeana mapingamizi kutakuwa na uchaguzi ? Lissu alikuwa anafanya kampeni kabla ya uchaguzi Lissu alikuwa anafanya maandamano bila ya kibali wkt anatafuta wadhamini Lissu alikuwa anatumia majukwaa kukashifu mgombea mwenzie tena mgombea binafsi si chama nyinyi mnatafuta tension tu na kwa taarifa yenu wanaangalia tu tarehe 28 si mbali
 
Back
Top Bottom