mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Kwani wao malaika?Wapinzani wanatapa tapa tu yan Prof akosee kujaza fomu!. Mmh kwanza huyu si alimtukan prof kule twitter
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wao malaika?Wapinzani wanatapa tapa tu yan Prof akosee kujaza fomu!. Mmh kwanza huyu si alimtukan prof kule twitter
Mwenzako kasomea ilboruKwani Tundu Lisu alisoma nini kule A level?
Kwahiyo kule kwa nape na majaliwa ilikua kuna nini kweli Jana tu umesahau yaliyotoke nimeamini kama zidumu fikra za mwenyekitiHahhahahahaha naona chadema wanakuja na mbinu ya kupitia madirishani kama unapendwa why usiache box la kura lifanye kazi yake mnakuja na vipingamizi vya kipuuzi haya ngoja tumsubiri huyu mlemavu mwingine tuone anamuwekea pingamizi nani.
Heri ya mlemavu wa miguu kuliko mlemavu wa akili. Umetumika kiungo gani kuandika!Hahhahahahaha naona chadema wanakuja na mbinu ya kupitia madirishani kama unapendwa why usiache box la kura lifanye kazi yake mnakuja na vipingamizi vya kipuuzi haya ngoja tumsubiri huyu mlemavu mwingine tuone anamuwekea pingamizi nani.
Ndio maana ikawa vyombo vyote vya habari vinamuonyesha yy tu na magazeti yote yanamsifu yeyeLisu anatafuta kiki!
Yaonekana ilefuraha ya Jana iliyokua ukishangilia wabunge wako wa viti maalum mulio watangazaa inaanza kufifiaIla kajuaje kama kakosea? Aliiona wapi form ya huyu prof wa sociology ?
Prof. hawezi kosea kujaza fomu. Bonny anaweweseka!
Watavuna wanachopandaNdio sasa waone raha ya mapingamizi na si kuwa na sheria, taratibu au kanuzi zinazoruhusu wagombea kufanya marekebisho au kupewa nafasi ya kujaza form nyingine na mapingamizi yabaki tu kwenye serious isssues kama za uraia, n.k na si makosa madogomadogo kama ya ujazaji fomu kwa usahihi.
Mchimba kisima huingia mwenyewe.
Ni makosa kumukejeli mtu kwa ulemavu, maumbile, marehemu. Kwani hujui kesho yako. CCM hatutaki wapuuzi kama wewe. Una lengo la kuwanyima wagombea wetu kura za walemavu hasa wanaoingia forum hii.Hahhahahahaha naona chadema wanakuja na mbinu ya kupitia madirishani kama unapendwa why usiache box la kura lifanye kazi yake mnakuja na vipingamizi vya kipuuzi haya ngoja tumsubiri huyu mlemavu mwingine tuone anamuwekea pingamizi nani.
Chadema hakuna kutukanwa usiku wa mananeMbona bony anazidi kunenepa tu jamani.
Hivi ile kesi yake ya vyeti fake na mkuu iliishia wapi? Huenda anajihami zikichunguzwa zake.Prof. hawezi kosea kujaza fomu. Bonny anaweweseka!
Hakuna zaidi ya Kaijage yeye ndio final.Safi Sana Boniface ni mwendo wa JINO kwa JINO mpaka kieleweke. Ikiwezekana ipelekwe hadi mahakama ya Rufaa kumtengua Kitila kama kakosea na NEC wakimbeba.
Spirit ya sasa [CCM na serikali yake] ni ya kuviziana kwenye uchaguzi. Niliandika asubuhi ya kuwa hata ile ya kutaka wadhamini 250 kila jimbo majimbo 10 ni kupotezeana wakati na scarce resources. Issue ya maana je ni raia, anachama kilicho mpendekeza, ni mtu mzima? Mtu picha tu haionekani basi unamuengua kwa nini asililete nyingine iliohakikiwa na chama chake. Sasa kama ulivyosema mkuu ngoja na wao wakivae kiatu nio watajua utamu wake.Ndio sasa waone raha ya mapingamizi na si kuwa na sheria, taratibu au kanuzi zinazoruhusu wagombea kufanya marekebisho au kupewa nafasi ya kujaza form nyingine na mapingamizi yabaki tu kwenye serious isssues kama za uraia, n.k na si makosa madogomadogo kama ya ujazaji fomu kwa usahihi.
Mchimba kisima huingia mwenyewe.
Huyu Mgambo wa wapi?Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Boniface Jacob amemuwekea pingamizi mgombea wa CCM Prof. Kitila Mkumbo akitaka msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo kumuondoa Prof. Kitila kwa kile alichodai kukosea kujaza fomu za uteuzi.
Kazi inaendeleaMgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Boniface Jacob amemuwekea pingamizi mgombea wa CCM Prof. Kitila Mkumbo akitaka msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo kumuondoa Prof. Kitila kwa kile alichodai kukosea kujaza fomu za uteuzi.
Unaonekana ww hujui leo nikitaja wasihi wako mfano mrefu ,mweusi,mfupi etc je ninakuwa ninekudhalalisha? Je tunapowaita ndugu zetu walemavu wa ngozi albino tunakuwa tunawadhalalisha na je ulemavu ni kosa au jinai? Na je Lissu si mlemavu wa mguuu? Acha kuwa na akili za kushikiwa wwNi makosa kumukejeli mtu kwa ulemavu, maumbile, marehemu. Kwani hujui kesho yako. CCM hatutaki wapuuzi kama wewe. Una lengo la kuwanyima wagombea wetu kura za walemavu hasa wanaoingia forum hii.
Nani kaanza kutaka kupitishwa bila kupingwa na kuweka mapingamizi.Hahhahahahaha naona chadema wanakuja na mbinu ya kupitia madirishani kama unapendwa why usiache box la kura lifanye kazi yake mnakuja na vipingamizi vya kipuuzi haya ngoja tumsubiri huyu mlemavu mwingine tuone anamuwekea pingamizi nani.
Mkuu ni haya haya ya kusema wagombea wa upinzani peke yao ndiyo hawajui kujaza fomu. Fomu za kisheria ni rahisi sana mtu kuzikosea kujaza na ndio maana inatakiwa kuwe na room for corrections. Hata maprofesa hukosea na ukumbuke una fomu moja tu. Tatizo ni fomu zinapotumika kama mtego wa kukomoana. Sasa itokee kweli kuna kitu kakosea, anaepoteza ni nani? ni yeye au wapiga kura wake au wote?Prof. hawezi kosea kujaza fomu. Bonny anaweweseka!
Hv leo tukisema tuanze kuwekeana mapingamizi kutakuwa na uchaguzi ? Lissu alikuwa anafanya kampeni kabla ya uchaguzi Lissu alikuwa anafanya maandamano bila ya kibali wkt anatafuta wadhamini Lissu alikuwa anatumia majukwaa kukashifu mgombea mwenzie tena mgombea binafsi si chama nyinyi mnatafuta tension tu na kwa taarifa yenu wanaangalia tu tarehe 28 si mbaliNani kaanza kutaka kupitishwa bila kupingwa na kuweka mapingamizi.
Usikurupuke kuandika.
Kashamwekea mjomba wako huko.Mpaka mjifunze kuheshimu sheria na taratibu.
Vipi hawajakupa tender ya kuiba sanduku la kura,mmeshaonyeshwa mfano ukerewe, endeleeni tena.
Kama jaribio kuiba form mtu wamemsandwitch na "majiwe" ukibeba sanduku la kura je?