Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Kumbe unafuatilia siasa hata kanuni ndogo kama hizi za uchaguzi huzijui?Hivi fomu ya mtu mwingine wewe mgombea mwenzie unajuaje imekosewa?
Huwa zinabandikwa ukutani au vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe unafuatilia siasa hata kanuni ndogo kama hizi za uchaguzi huzijui?Hivi fomu ya mtu mwingine wewe mgombea mwenzie unajuaje imekosewa?
Huwa zinabandikwa ukutani au vipi?
Mpaka rahaaa yaani...Huu mwaka huu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kati ya ulivyotaja hakuna hata kimoja amevunja sheriaHv leo tukisema tuanze kuwekeana mapingamizi kutakuwa na uchaguzi ? Lissu alikuwa anafanya kampeni kabla ya uchaguzi Lissu alikuwa anafanya maandamano bila ya kibali wkt anatafuta wadhamini Lissu alikuwa anatumia majukwaa kukashifu mgombea mwenzie tena mgombea binafsi si chama nyinyi mnatafuta tension tu na kwa taarifa yenu wanaangalia tu tarehe 28 si mbali
Nimeipenda hiyo ya vipingamizi vya kipuuzi-tujiulize nani amekuja na vijisheria vya kipuuzi. Kumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa karibu wagombea wote wa upinzani wali enguliwa kwa upuuzi kama huu. Hapa ndio mkuki kwa nguruwe......Hahhahahahaha naona chadema wanakuja na mbinu ya kupitia madirishani kama unapendwa why usiache box la kura lifanye kazi yake mnakuja na vipingamizi vya kipuuzi haya ngoja tumsubiri huyu mlemavu mwingine tuone anamuwekea pingamizi nani.
kwenye siasa za majitaka ndo tuna aminishwa professor wa CCM ni wa onyo kuliko bwabwa la CDM. Mwizi wa ccm akihamia CDM anageuka malaika........Hivi maprofesa wa CCM unawaona ni watu wenye akili sawa-sawa kweli while wanasema wazi wameokotwa dampo?
Ww unaelimu gani... Acha dharau assholeProf wa sociology. Mwanaume kusoma HKL napo kipaji.
Nikuulize wewe hv wanachama na wafwasi wa Chadema Lissu si mlemavu wa mguu? Kweli nyinyi mnamatatizo ya ufahamu kama mmeshindwa kujua kuwa mgombea wenu ni mlemavu wa mguuHeri ya mlemavu wa miguu kuliko mlemavu wa akili. Umetumika kiungo gani kuandika!
Mgaka gani wewe?Mgaka hautaki haki?Hv leo tukisema tuanze kuwekeana mapingamizi kutakuwa na uchaguzi ? Lissu alikuwa anafanya kampeni kabla ya uchaguzi Lissu alikuwa anafanya maandamano bila ya kibali wkt anatafuta wadhamini Lissu alikuwa anatumia majukwaa kukashifu mgombea mwenzie tena
mgombea binafsi si chama nyinyi mnatafuta tension tu na kwa taarifa yenu wanaangalia tu tarehe 28 si mbali
WamenunaaaaYaonekana ilefuraha ya Jana iliyokua ukishangilia wabunge wako wa viti maalum mulio watangazaa inaanza kufifia
Stupid.. hata ujui kama ilboru a level hamna hkl..acha madharau nyangauBora hata Tundu alisoma Ilboru.
Mzee tuaongee vitu vya akili nitajie ni wapi taarifa official ya Chadema inayosema kuna mgombea wenu ameporwa form? Leo kila mwanachadema amekuwa anatoa taarifa je chama hakina utaratibu wa kutoa taarifa haya tumeona nchi nzima mgombea anapeleka form akisindikizwa na wanachama na wapenzi wa chama inakuwaje form zichukuliwe Then kusitokee vurugu? haya umeporwa form usiende police ukimbilie mtandaoni hyo ni akili ?mpk leo Jeshi la police halina taarifa ya mtu yeyote kuporwa form zaidi ya vijana na wafwasi wa chadema ndo wenye taarifa tu.Mgaka gani wewe?Mgaka hautaki haki?
Umeweka pingamizi na wewe unawekewa.Watu wanaporwa form, mara zinaongezewa maandishi.Aaah Mgaka unaniangusha....dont act like "murisya" mbane.
Fuatilia ya Minja hapo Morogoro, mkurugenzi kakabidhi dispatch na form za kukata rufaa kwa polisi.Mzee tuaongee vitu vya akili nitajie ni wapi taarifa official ya Chadema inayosema kuna mgombea wenu ameporwa form? Leo kila mwanachadema amekuwa anatoa taarifa je chama hakina utaratibu wa kutoa taarifa haya tumeona nchi nzima mgombea anapeleka form akisindikizwa na wanachama na wapenzi wa chama inakuwaje form zichukuliwe Then kusitokee vurugu?
Yeye ameionaje fomu ya mwenzie kama siyo ujuhaMgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Boniface Jacob amemuwekea pingamizi mgombea wa CCM Prof. Kitila Mkumbo akitaka msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo kumuondoa Prof. Kitila kwa kile alichodai kukosea kujaza fomu za uteuzi.
Ccm watatumia sana hill neno manlitawadhuru vibaya mno had I kimataifa subiri utaona tuNi makosa kumukejeli mtu kwa ulemavu, maumbile, marehemu. Kwani hujui kesho yako. CCM hatutaki wapuuzi kama wewe. Una lengo la kuwanyima wagombea wetu kura za walemavu hasa wanaoingia forum hii.
Mbona huyu wa kulia amefanana na Savimbi? What is happening?Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Boniface Jacob amemuwekea pingamizi mgombea wa CCM Prof. Kitila Mkumbo akitaka msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo kumuondoa Prof. Kitila kwa kile alichodai kukosea kujaza fomu za uteuzi.
Hahhahahahaha naona chadema wanakuja na mbinu ya kupitia madirishani kama unapendwa why usiache box la kura lifanye kazi yake mnakuja na vipingamizi vya kipuuzi haya ngoja tumsubiri huyu mlemavu mwingine tuone anamuwekea pingamizi nani.
Wakiambiwa ni sheria kandamizi/mbaya wanapinga,ngoja waonje raha ya kupingwa/kuondolewa ugombea.Zipo nyingi na walizipitisha kuwanyanyasa wapinzani.Sheria ni msumeno.nipo nacheka tu... huu mwaka lazima tunenepe kwa hizi shangwe... sheria unatunga wewe.. halafu inakusaliti... inaanza kukugeukia...
Itakuwa imebandikwa hadharaniIla kajuaje kama kakosea? Aliiona wapi form ya huyu prof wa sociology ?