Uchaguzi 2020 Ubunge Jimbo la Ubungo: Boniface Jacob aweka pingamizi dhidi ya Prof. Kitila Mkumbo kwa madai ya kukosea kujaza fomu

Uchaguzi 2020 Ubunge Jimbo la Ubungo: Boniface Jacob aweka pingamizi dhidi ya Prof. Kitila Mkumbo kwa madai ya kukosea kujaza fomu

Hv leo tukisema tuanze kuwekeana mapingamizi kutakuwa na uchaguzi ? Lissu alikuwa anafanya kampeni kabla ya uchaguzi Lissu alikuwa anafanya maandamano bila ya kibali wkt anatafuta wadhamini Lissu alikuwa anatumia majukwaa kukashifu mgombea mwenzie tena mgombea binafsi si chama nyinyi mnatafuta tension tu na kwa taarifa yenu wanaangalia tu tarehe 28 si mbali
Kati ya ulivyotaja hakuna hata kimoja amevunja sheria

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hahhahahahaha naona chadema wanakuja na mbinu ya kupitia madirishani kama unapendwa why usiache box la kura lifanye kazi yake mnakuja na vipingamizi vya kipuuzi haya ngoja tumsubiri huyu mlemavu mwingine tuone anamuwekea pingamizi nani.
Nimeipenda hiyo ya vipingamizi vya kipuuzi-tujiulize nani amekuja na vijisheria vya kipuuzi. Kumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa karibu wagombea wote wa upinzani wali enguliwa kwa upuuzi kama huu. Hapa ndio mkuki kwa nguruwe......
Ulemavu wake hauna uhusiano na mambo ya mapingamizi naona unatumia hilo kumnyanyapaa. Kama kuna anaestahili pingamizi ngoja awekewe.......vikiwauma basi NEC ifikirie kurekebisha.
 
Hivi maprofesa wa CCM unawaona ni watu wenye akili sawa-sawa kweli while wanasema wazi wameokotwa dampo?
kwenye siasa za majitaka ndo tuna aminishwa professor wa CCM ni wa onyo kuliko bwabwa la CDM. Mwizi wa ccm akihamia CDM anageuka malaika........
 
Heri ya mlemavu wa miguu kuliko mlemavu wa akili. Umetumika kiungo gani kuandika!
Nikuulize wewe hv wanachama na wafwasi wa Chadema Lissu si mlemavu wa mguu? Kweli nyinyi mnamatatizo ya ufahamu kama mmeshindwa kujua kuwa mgombea wenu ni mlemavu wa mguu
 
Hv leo tukisema tuanze kuwekeana mapingamizi kutakuwa na uchaguzi ? Lissu alikuwa anafanya kampeni kabla ya uchaguzi Lissu alikuwa anafanya maandamano bila ya kibali wkt anatafuta wadhamini Lissu alikuwa anatumia majukwaa kukashifu mgombea mwenzie tena
mgombea binafsi si chama nyinyi mnatafuta tension tu na kwa taarifa yenu wanaangalia tu tarehe 28 si mbali
Mgaka gani wewe?Mgaka hautaki haki?
Umeweka pingamizi na wewe unawekewa.Watu wanaporwa form, mara zinaongezewa maandishi.Aaah Mgaka unaniangusha....dont act like "murisya" mbane.
 
Mgaka gani wewe?Mgaka hautaki haki?
Umeweka pingamizi na wewe unawekewa.Watu wanaporwa form, mara zinaongezewa maandishi.Aaah Mgaka unaniangusha....dont act like "murisya" mbane.
Mzee tuaongee vitu vya akili nitajie ni wapi taarifa official ya Chadema inayosema kuna mgombea wenu ameporwa form? Leo kila mwanachadema amekuwa anatoa taarifa je chama hakina utaratibu wa kutoa taarifa haya tumeona nchi nzima mgombea anapeleka form akisindikizwa na wanachama na wapenzi wa chama inakuwaje form zichukuliwe Then kusitokee vurugu? haya umeporwa form usiende police ukimbilie mtandaoni hyo ni akili ?mpk leo Jeshi la police halina taarifa ya mtu yeyote kuporwa form zaidi ya vijana na wafwasi wa chadema ndo wenye taarifa tu.
 
Mzee tuaongee vitu vya akili nitajie ni wapi taarifa official ya Chadema inayosema kuna mgombea wenu ameporwa form? Leo kila mwanachadema amekuwa anatoa taarifa je chama hakina utaratibu wa kutoa taarifa haya tumeona nchi nzima mgombea anapeleka form akisindikizwa na wanachama na wapenzi wa chama inakuwaje form zichukuliwe Then kusitokee vurugu?
Fuatilia ya Minja hapo Morogoro, mkurugenzi kakabidhi dispatch na form za kukata rufaa kwa polisi.
Polisi na form za rufaa wapi wapi?Kisha kasema hajaona hiyo dispatch na walisaini.
Fuatilia hiyo uone rough za mapema hivi.
 
Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Boniface Jacob amemuwekea pingamizi mgombea wa CCM Prof. Kitila Mkumbo akitaka msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo kumuondoa Prof. Kitila kwa kile alichodai kukosea kujaza fomu za uteuzi.

Yeye ameionaje fomu ya mwenzie kama siyo ujuha
 
Ni makosa kumukejeli mtu kwa ulemavu, maumbile, marehemu. Kwani hujui kesho yako. CCM hatutaki wapuuzi kama wewe. Una lengo la kuwanyima wagombea wetu kura za walemavu hasa wanaoingia forum hii.
Ccm watatumia sana hill neno manlitawadhuru vibaya mno had I kimataifa subiri utaona tu
 
Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Boniface Jacob amemuwekea pingamizi mgombea wa CCM Prof. Kitila Mkumbo akitaka msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo kumuondoa Prof. Kitila kwa kile alichodai kukosea kujaza fomu za uteuzi.

Mbona huyu wa kulia amefanana na Savimbi? What is happening?
 
Mbona nyie wakurugenzi wenu wamewapitisha wagombea wenu kuwa washindi?Hilo hulioni?baadhi ya majimbo mnajinasibu kupita bila kupingwa au Makuke kwa nguruwe? Muosha huoshwa tulieni dawa iwaingie
Hahhahahahaha naona chadema wanakuja na mbinu ya kupitia madirishani kama unapendwa why usiache box la kura lifanye kazi yake mnakuja na vipingamizi vya kipuuzi haya ngoja tumsubiri huyu mlemavu mwingine tuone anamuwekea pingamizi nani.
 
nipo nacheka tu... huu mwaka lazima tunenepe kwa hizi shangwe... sheria unatunga wewe.. halafu inakusaliti... inaanza kukugeukia...
Wakiambiwa ni sheria kandamizi/mbaya wanapinga,ngoja waonje raha ya kupingwa/kuondolewa ugombea.Zipo nyingi na walizipitisha kuwanyanyasa wapinzani.Sheria ni msumeno.
 
Back
Top Bottom