Hilo bunge 2020, Harmonise, Diamond na bado Shilole .
Kwahiyo muziki ni deal
Huku Tz tunachelewa but nchizingine Africa na mashariki wanamuziki wanajiandaa kugombea uraisNaongea kutokana na watanzania walivyo,watanzania wanavote kutokana na mahaba kwa mtu ,na sio mtu atawafanyia nini?Yaani umaarufu kwa Tanzania unaweza msaidia msanii kugombea nafasi za siasa na akashinda.
Huu ubunge siku hizi hauna maana tena. Niliona hata Mkulu akimpigia debe mwimba muziki wa kiume anae suka nywele kwamba nae anafaa kuwa mbunge.. Yaani haya ni mambo ya aibu mno.
Kwa akili za watanzania,Diamond hata akigombea Urais anashinda.Ila Diamond hajijui tu kuwa yeye ni mkubwa kuliko wanasiasa.Tena akigombea Kigoma atashinda asubuhi kabisa.
Ndo uone waafrica akili zetu na perception zetu zinafanana.Sasa Diamond eti Rais and believe me hapa Tanzania inawezekana kabisa.Tena Mond akitaka kugombea ubunge Kigoma anashinda asubuhi kabisa.Huku Tz tunachelewa but nchizingine Africa na mashariki wanamuziki wanajiandaa kugombea urais
Labda Urais wa Wasaka Tonge na Mamluki ataupata
Huku Amber Ruty na Gigy Money!Hilo bunge 2020, Harmonise, Diamond na bado Shilole .
Akishinda atapata tu cha kusema.Ili akafanye nini bungeni?
Ana nini cha kusema yule na watu wakamuelewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliona kama yeye aliweza na baadae akasukumiziwa kwanini mmakonde ashindwe?Huu ubunge siku hizi hauna maana tena. Niliona hata Mkulu akimpigia debe mwimba muziki wa kiume anae suka nywele kwamba nae anafaa kuwa mbunge.. Yaani haya ni mambo ya aibu mno.
Hivi wewe unamuonaje huyo Muha mwenzio? Hivi akipigwa mdahalo na baba yenu Jiwe hatuwezi kumuona Jiwe akidondoka?Labda Urais wa Wasaka Tonge na Mamluki ataupata
Kama form 4 failure Mbowe anaweza, kwa nini Diamond ashindwe?Kwamba Diamond ndiye ataenda kuishi kigoma akaliwe funza?
Eti Diamond awe mbunge kwenda kutunga sheria zenye manufaa kwa taifa
What shame..
Ndio maana nchi imedumaa hivi kukata viuno na kutunga sheria wapi na wapi?
MTU akisema hawa watu wanamawazo ya kipumbavu wana lalama, katika umasikini huu eti unaondoa akili bungeni ili uweke viuno? Pambaf kabisa!Kwamba Diamond ndiye ataenda kuishi kigoma akaliwe funza?
Eti Diamond awe mbunge kwenda kutunga sheria zenye manufaa kwa taifa
What shame..
Ndio maana nchi imedumaa hivi kukata viuno na kutunga sheria wapi na wapi?