Uchaguzi 2020 Ubunge Kigoma Mjini, Zitto Kabwe vs Diamond Platnumz

Uchaguzi 2020 Ubunge Kigoma Mjini, Zitto Kabwe vs Diamond Platnumz

Ingawa wanasema ili uwe mbunge ujue kusoma na kuandika tu,diamond anazo hizo sifa lakini nasema hastahili hata kwa nusu asilimia
 
Ingawa wanasema ili uwe mbunge ujue kusoma na kuandika tu,diamond anazo hizo sifa lakini nasema hastahili hata kwa nusu asilimia
 
Watanzania tuna kazi nzito...sasa huyo Diamond anakwenda bungeni kufanya nini...

Tuliwashauri mtu kugombea ubunge walau awe kidato cha sita na div 3 au Diploma ya walau upper second.

Kujaza watu wa ajabu ajabu bungeni ndiyo matokeo yake hata kuhoji How & Why hakuna, uwezo wa kujenga hoja sifuri...just making numbers...na linaloumia hapo ni Taifa na si CCM.
 
Huu ubunge siku hizi hauna maana tena. Niliona hata Mkulu akimpigia debe mwimba muziki wa kiume anae suka nywele kwamba nae anafaa kuwa mbunge.. Yaani haya ni mambo ya aibu mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mwanamuziki hafai kuwakilisha wananchi? Je Kunataaluma maalum inayokubalika ili mtu awe mbunge? Au kwa kuwa umezoea kuwaona wanasheria na so like? Acha dharau ndio Mana wakasema kigezo Cha kuwa mbunge ni kujua kisoma na kuandika tu! Shwain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba Diamond ndiye ataenda kuishi kigoma akaliwe funza?

Eti Diamond awe mbunge kwenda kutunga sheria zenye manufaa kwa taifa

What shame..

Ndio maana nchi imedumaa hivi kukata viuno na kutunga sheria wapi na wapi?
Mnavolalamika utafikiri hao wakata viuno washaingia mjengoni. Mbona hawapo mjengoni lakini bado Maamuzi ya ndio mzeiya yanapitiashwa na maprofesa wa jalalani. Wacheni dharau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba Diamond ndiye ataenda kuishi kigoma akaliwe funza?

Eti Diamond awe mbunge kwenda kutunga sheria zenye manufaa kwa taifa

What shame..

Ndio maana nchi imedumaa hivi kukata viuno na kutunga sheria wapi na wapi?
Kwani Zitto anaishi Kigoma?
Mbona Sugu yuko bungeni anatunga sheria? Kama kwa Sugu sawa kwa Nini isiwe kwa Diamond? kupanga ni kuchagua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kwa kile kitendo chake cha kuinadi ccm juzi hapa kigoma kuna watu wameshasema na walitoka hata kabla ya onyesho lake halija isha wakisema kuwa hawakujua kuwa lilikuwa ni show la ccm
Diamond siasa zitamporomosha!

Anaotaka kuwanufaisha kisiasa kwa kutumia umaarufu wake ni watu wasiokubalika na watanzania wengi hivyo awe makini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu nyoosha maelezo,
Uraisi kwenye chama gani mbonaa mnampa sifa zisizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Naongea kutokana na watanzania walivyo,watanzania wanavote kutokana na mahaba kwa mtu ,na sio mtu atawafanyia nini?Yaani umaarufu kwa Tanzania unaweza msaidia msanii kugombea nafasi za siasa na akashinda.
 
Back
Top Bottom