BongoTz
JF-Expert Member
- Nov 3, 2006
- 272
- 3
mlioko tarime mnaweza kutusaidia kama ifuatavyo, tuwekeeni hapa matokeo ya kila kituo tafdhali, tusadieni wazalendo na wanandemokrasia wenzenu
So far nina matokeo ya Kata [moja] ya Kemambo ambapo Chadema ime trounce CCM 90% to 10%. Kata hii ina vijiji vifuatavyo: Nyangoto, mrito, Kerende, Matongo na Kewanja. The downside, however, population ya hii kata iko chini ukilinganisha na kata zingine.
P.S. Amka na BBC imetangaza kwamba: wafuasi wa Chadema walishaingia mitaani alfajiri na mapema kusherekea ushindi. Mwandishi ameripoti kuwa: tally za mawakala wa Chadema zinaonyesha kuwa Chadema wameshinda.