Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Status
Not open for further replies.
mlioko tarime mnaweza kutusaidia kama ifuatavyo, tuwekeeni hapa matokeo ya kila kituo tafdhali, tusadieni wazalendo na wanandemokrasia wenzenu

So far nina matokeo ya Kata [moja] ya Kemambo ambapo Chadema ime trounce CCM 90% to 10%. Kata hii ina vijiji vifuatavyo: Nyangoto, mrito, Kerende, Matongo na Kewanja. The downside, however, population ya hii kata iko chini ukilinganisha na kata zingine.
P.S. Amka na BBC imetangaza kwamba: wafuasi wa Chadema walishaingia mitaani alfajiri na mapema kusherekea ushindi. Mwandishi ameripoti kuwa: tally za mawakala wa Chadema zinaonyesha kuwa Chadema wameshinda.
 
Jamani hivi kuna nini huko tarime mbona hawatuambii ukweli?Tumechoka kusubiri.Chadema hongereni sana.
 
Nani ana matokeo comprehensive ya Tarime. Maana naona ushindi unaodaiwa wa Chadema ni vituo vya mjini tu
 
Ngoja nimpunzike kwanza maana naona nyota nyota tu huku matokeo rasmi siyaoni.
 
Namba wani kwa kuongoza nchi. Kuanzia Rais mpaka Wabunge.

Namba wani kwa kupendwa na wananchi wengi Tanzania!
 
Kiviutu wa tarime akitangaza sisiemu wameshinda sijui itakuwaje
 
Redio One wanasema ni mabomu mtindo mmoja. Dalili kwamba CCM inaelekea kutangazwa MSHINDI?
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 177 (56 members and 121 guests

Ab-Titchaz, allse, Bavuvi, Ben+, bint, chakaza, EDDOH, Fatuma, First Lady, Franc, Francis the King, Gashle, Hamad Yussuf, Ibrah, Interested Observer, Invisible*+, jacobae, Jibaba Bonge, kilbark, Kubwajinga, macinkus+, Magehema, malila, mamaparoko, manundu, Mbassa, mfwatiliaji, Mkaguzi, Mlalahoi, Mndundu, mpiganajinambamoja, Mshangaaji, Mtu Kwao, Mutu, Mwanangurumo, mwikimbi, mzee wa gumzo, Mzozo wa Mizozo, Nicazius, njilembera, Njimba Nsalilwe, Nurujamii, paulimasao, phillemon mikael, Realist, Roya Roy*+, Silencer, single D, tauphiq, THADEUS, Tom, Tshala, Tuandamane, Wakuja, WildCard, Willy

Duh!!!!...kweli mpaka kieleweke tu!

Hofu yangu ni kama wanachama kadhaa walivyosema, je Kivuitu wa Tarime
akitangaza sisiemu imeshinda kitaeleweka kweli???
 
sasa naelekea mtaani kuganja njaa, wenye matokeo na wanaoweza kuwatafuta akina john mnyika, zito kabwe, mwita, nk wawatafute ili kabla ya lunch kieleweke, hapa nafunga kula mpaka nisikie toka tarime. tusaidiane kupunguza vidonda vya tumbo
 
CCM ni namba One kwa Ujambazi na Ufisadi, wasije wakaiba kura tena.
 
Redio One wanasema ni mabomu mtindo mmoja. Dalili kwamba CCM inaelekea kutangazwa MSHINDI?

Hata mimi nimeisikia hiyo taarifa lakini kwa taarifa za jana wana JF ni kuwa SISIEMUU hawana chao.Hiyo ndiyo ilikuwa taarifa thibitika kutoka jikoni.Labda Kivuitu waTarime akoroge mambo.

Napata wasiwasi kutokana na mabomu wanayopigwa raia muda huu.Kwanini wazuiwe kwenda eneo la kutangazia matokeo????
 
Naona hata magwiji humu wamewahi kujitangazia USHINDI wakati matokeo bado.

Kwa mujibu wa tume SISI ndo tunaongoza mpaka sasa!

Kidumu chama cha mapinduzi!
 
Wakuu naona mshatangaza matokeo...! Nahisi yakitoka kinyume na matarajio kuna watu watazibamiza pc zao makofi. Yangu mi macho 🙂
 
Habari kwa Ufupi TBC saa 4.00 Matokeo kutangazwa baada ya muda mfupi ujao.
WanaCHADEMA wameanza maandamano kuelekea Halmashauri kudshinikiza matokeo yatangazwe wakiimba "Mwere, mweraa, Mweraa".

Nafuatilia kama watajiunga tena na Mwandihi wao wa Tarime
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom