Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Status
Not open for further replies.
Mkuu Mwanakijiji,
Mawazo mazuri lakini sidhani kama CHADEMA wameshinda kwa sababu ya watu kuwakimbia CCM peke yake, ingawa inaweza ikawa moja ya sababu. Kwa maoni yangu ukosefu wa amani unaweza ukawa kigezo kikubwa zaidi kwenye haya matokeo.

Kutokana na ushiriki wa watu kuwa mdogo sana, (~50,000) ukilinganisha na 2005 (~90,000), inaelekea wazi kuwa watu waliogopa kushiriki hasa baada ya kuwepo kwa vurugu na watu kuchomwa visu. Ushindi wa CHADEMA ni pungufu kwa kura zaidi ya 30,000 ukilinganisha na 2005, kiasi ambacho ni kingi kuliko kura walizopata hivi sasa na hata kwa asilimia ni chini kwa karibu 10%.

Mwaka 2005, marehemu Wangwe alipata kura 57,331 au 64.2% (nyingi kuliko jumla ya kura zote za CHADEMA na CCM kwenye huu uchaguzi wa leo). 2005, marehemu Wangwe alikuwa ndiye mbunge aliyeongoza kwa kuwa na ushindi mkubwa zaidi ndani ya CHADEMA.

Kwa hiyo inawezekana kuwa waliopiga kura wengi wao walikuwa ni wakereketwa tu wa hivyo vyama na wengine wasio wakereketwa wa hizo siasa zao, walioona waepukane na vurugu na wakakaa nyumbani.

Hivyo haya matokeo yanatakiwa yaangaliwe kwa udadisi mkubwa zaidi na wahusika wote, CHADEMA, CCM na zaidi ya wote waandaaji uchaguzi kwani vurugu zinaweza zikawa ndio zilizoleta haya matokeo na hivyo yanaweza kuwa hayatoi picha halisi ya siasa hapo Tarime.

hoja yako ingekuwa na nguvu kama ungelinganisha na Kiteto. CCM walishinda Kiteto kwa namna gani ukiangalia namba?

MMJJ,
Mazingira ya hizi chaguzi ni tofauti kabisaa kulinganisha. Sidhani kama Kiteto kuna aliyechomwa kisu kwa kupigania uwanja wa kutulia Helikopta. Ukosefu wa amani Tarime ni wazi kuwa ndio uliowafanya zaidi ya 50% ya wapiga kura kuogopa kutoka nje siku ya uchaguzi. Analysis yoyote inatakiwa ianzie hapa.
 
Kama ni kweli CHADEMA mmeshinda, basi 'hongereni zenu'.

CCM tulishasema kuwa tutakubali matokeo.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi

Kidumu Chama Tawala

Asante sana mkuu kwa kuonesha ukomavu kisiasa.Kukubali matokeo ndio uungwana.Nakusihi fanya kazi ya kuelimisha wenzio nao waelewe.At least tunaanza kuona Demokrasia.Bravo CHADEMA.
 
For those with any new development of the elections in Tarime (voting, results, celebrations etc) please update them here; at the end of the elections this thread will be merged with the main Tarime thread. We are trying to avoid multiple new threads of whatever new thing that will come out of Tarime today.

Matokeo rasmi:

Vituo - 406
Idadi - 146,919
Waliopiga Kura - 67,733
Kura Halali - 64,765
Zilizoharibika - 2,938

UDP - 305
NCCR - 949
CCM - 28,696 - 42.6%
CHADEMA - 34,545 - 51%

Every Dog Has Its Day!
 
Currently Active Users: 1,403 (222 members and 1181 guests)
Most users ever online was 1,565, 12th February 2008 at 07:03 PM.

Hivi kulikuwa na tukio gani siku hiyo? The record will be broken today before it reaches 7 PM this evening!

.
 
Nafikiria kuhusu ule muungano wa upinzani.......
Ni kwamba CHADEMA wameishinda Sisiem iliyokua pamoja na baadhi ya wapinzani!
Tafadhali kaeni muongelee uzoefu mlipata Tarime, labda mtapata muungano bora kuliko wa sasa (au ulikuwepo?).
 
low voters turnout katika scenerio nyingi imeonekana kutokana na ccm kununua shahada kutoka kwa wapiga kura ambao wako likely kuu vote them out...

Thats why mikutano mingi ya wapinzani huwa inajaa mashabiki ..wengi vijana ..lakini maskini woote au wengi wameshauza shahada zao kwa tzs 5,000[madalali husema tzs 10,000].....sasa fisadi akiwa na milioni 200 anannunua shahada 20,000[hapo na madalali wameshakula]

so ili upinzani ushinde ni lazima ....wahakikishe mashabiki wao hawauzi shahada..,kuwahimiza wakapige kura,na kufanya close monitoring siku ya uchaguzi...haya yamefanyika tarime...lakini unapokuja uchaguzi mkuu inakuwa ngumu kwa vyama hivi masikini kujigawa....nashauri bora viangalie namna ya kutumia limited resources walizonazo kwenye maeneo yatakayoleta impact ..ili taratibu wajijengee uwezo...wanaweza kulenga haata miaka 20 ijayo....tutafika tu!!

Sidhani kama CCM waliweza kununua shahada 20,000 bila ya CHADEMA n.k. kutokupata habari. Hivyo vitisho vya watu kwenda kuchukua silaha zao na kuingia mitaani, ni lazima ziliwafanya wasio wakereketwa wa CHADEMA na CCM kukaa nyumbani.

Despite winning, CHADEMA have to be worried of 10% decrease in support. Kama upungufu huo ungetokea kwenye jimbo lingine lolote waliloshinda ubunge 2005, basi wangepoteza hivyo viti.
 
Kwa jinsi CCM ilivyo na mtandao mkubwa mpaka kwenye nyumba kumi kumi kama ni suala la kununua shahada kwa ni jambo rahisi sana, kwa sababu mjumbe wa nyumba kumi almost atakuwa anawajuwa watu wa maeneo yake vizuri sana, yupi mwenye shida, yupi ana njaa sana au watu gani tuwatumie kwa urahisi kufanikisha zoezi etc ...

Pamoja na yote hayo lakini inabidi vyama vianze(hasa CHADEMA) kufanya kazi kisayansi sasa kwa kufanya tathmini baada ya uchaguzi kama huu wa Tarime wajue kabisa bila shaka ni sababu gani imesababisha turnout kuwa ndogo. Wanaweza kutumia hata questionnaires kujua hilo, na ni kwa ajili ya manufaa yao ya baadaye.
 
Nakubaliana na wewe kabisa kuwa mtandao wa CCM ni mkubwa na kabambe hata kwenye jimbo kama la Tarime lililokuwa chini ya umiliki wa CHADEMA.

Lakini, let's be fair, kununua shahada 20,000 bila kugundulika sio jambo rahisi. Ila la wazi na lililoandikwa na wanaCHADEMA wengi waliokuwa Tarime humu JF, ni vitisho vya utumiaji wa silaha kwa baadhi ya wakereketwa. Sina shaka kabisa kuwa wale wote ambao sio wakereketwa wa hivi vyama hawakuona umuhimu wa kushiriki uchaguzi kwa vitisho vya usalama vilivyokuwepo.
 
Currently Active Users: 1401 (218 members and 1183 guests)
Most users ever online was 1,565, 12th February 2008 at 07:03 PM.
Ibrah, Ab-Titchaz, africa6666, Ajobu, Akthoo, Alinda, allse, amwaisaka, Ann Lema, Arsenal, Azimio Jipya, Baba Sangara, Baba watatu, bado niponipo, Bazobonankira, Belo, bint, Blanche, Bonnie1974, Bowbow, Bubu Msemaovyo, canaan, Chacha wa Mwita, chakaza, CHAUMBEYA, COMRADE44, congo, Crashwise, darwin, DawaKali, dcyprian, deny_all, diamond, dopal, edo, Eeka Mangi, EXECUTIVE, FairPlayer, Fatuma, FDR.Jr, fidel80, Franc, Francis the King, franklyn2468, Fundi Mchundo, gamba la nyoka, Haki.tupu, Halisi, herbert, Hey, hofstede, HUJALE, ideas.unlimited, IDIMI, Indume Yene, Invincible, Iteitei Lya Kitee, Jasusi, Jeni, Jibaba Bonge, jjomolo, Jongwe, Kandambili, kanicho, kanyabuleza, kibogold, kibunango, kijunjwe, kilbark, kilinzibar, kimambo, King Zenji, Kinyamana, kipanga, kissa eliakim, kitia, Kitila Mkumbo, kitonzegu, kizimkazimkuu, kkiwango, Kocha, Kubwajinga, kudi shauri, kunda, Kwayus, Ladslaus Modest, Lady Capricorn, lazydog, LIGHONDI, lione, Loi, macinkus, Mafurujr, Magehema, Magobe T, Mahmoud Qaasim, maisha, malila, Malunde-malundi, maluo, mamaparoko, Mambo Jambo, manundu, Masaki, Masatu, masikini, matemu, matuse, Maverick, Mbalamwezi, Mbassa, MC, mchana, mchongoma, mchukia fisadi, mfuatiliaji, mfwatiliaji, mgafilika, mgirima, Mgoyangi, Mizani, Mkaguzi, mkamap, mkanya, mkora, mkuu, Mnyonywaji, Mnyoofu, moelex23, MONG'OO, Mpita Njia, Mr. Zero, msaragambo, Mtanganyika, Mtanzania, Mtindiowaubongo, Mtu Kwao, Mtyama, mTz, muadilifu, mundu, Muoldmoshi, Mushobozi, mwafrika wa kike, MWAMBA, Mwaminifu, MWANAFUNZI, MWANAMALUNDI, Mwanamene, MWITA MARANYA, Mzee Kibiongo, Mzozo wa Mizozo, Ndugu, nduna, Nenga, nesindiso sir, Ng'oga, ngomanzito, ngongo, ngorunde, Nicholaus, njilembera, nkenja1, nono, Nsaji Mpoki, Nsololi, Nyani McCain, nziku, ochu, Omulangi, opole, pgsoft2008, phillemon mikael, PJ, positive Thinker, preacher, prince, PUNJE, Rainbow, remyshas, resie, Rwabugiri, sam66, Scorpion, Sekenke, selemala, shukuru, single D, SKILLS4EVER, son of alaska, songambele, stonetown, tango, tapeli, tolu, TooGood, Treasurefred, Tshala, Tuandamane, Typical, Ushirombo, utamaduni, Verily Verily, vica, vkitina, vstdar, Wakuja, wandugu masanja, Willy, zakumi, Zanaki, Zion Train

Ifikapo saa 6 usiku leo idadi ya waingiaji JF inaweza kuvunja rekodi. A good work WaTZ tuendelee kuingia na kuchungulia.
 
HONGERA CHADEMA, NATAMANI 2010 IWE KESHO VILE, MAANA NINA KIMUKEMUKE! ccm GO TO HELL!!!!
 
Nakubaliana na wewe kabisa kuwa mtandao wa CCM ni mkubwa na kabambe hata kwenye jimbo kama la Tarime lililokuwa chini ya umiliki wa CHADEMA.

Lakini, let's be fair, kununua shahada 20,000 bila kugundulika sio jambo rahisi. Ila la wazi na lililoandikwa na wanaCHADEMA wengi waliokuwa Tarime humu JF, ni vitisho vya utumiaji wa silaha kwa baadhi ya wakereketwa. Sina shaka kabisa kuwa wale wote ambao sio wakereketwa wa hivi vyama hawakuona umuhimu wa kushiriki uchaguzi kwa vitisho vya usalama vilivyokuwepo.

Hata mimi sidhani kama sababu inaweza kuwa moja, ndio maana nasema ni vizuri watu wakatumia njia za kisayansi kujifunza nini kimekuwa chanzo....Kukosekana kwa watu zaidi ya 20,000 najua sababu zitakuwa nyingi tu....wagonjwa, ununuzi wa shahada, vitisho, kukosekana majina vituoni, kuhamishwa vituo bila taarifa, wengine kupigia kura upinzani, low motivation na kadhalika...
 
...pwaa...pwwaa... eeh kidedea........pwaa...pwwaa... eeh kidedea........pwaa...pwwaa... eeh kidedea.....
 
Nakubaliana na wewe kabisa kuwa mtandao wa CCM ni mkubwa na kabambe hata kwenye jimbo kama la Tarime lililokuwa chini ya umiliki wa CHADEMA.

Lakini, let's be fair, kununua shahada 20,000 bila kugundulika sio jambo rahisi. Ila la wazi na lililoandikwa na wanaCHADEMA wengi waliokuwa Tarime humu JF, ni vitisho vya utumiaji wa silaha kwa baadhi ya wakereketwa. Sina shaka kabisa kuwa wale wote ambao sio wakereketwa wa hivi vyama hawakuona umuhimu wa kushiriki uchaguzi kwa vitisho vya usalama vilivyokuwepo.

mhh mhh

haya mwaya....
 
Bi. Mdogo kama hili lisingekutoa kwenye fungate unajua ningekuja mwenyewe nikutoe huko kwa nguvu.. it is good to see you here again at such a moment like this. Weekend kwetu kwa nyama choma na cha kugigida kidogo.
 
Hili ni la uchaguzi wa Tarime ni kubwa zaidi kuliko chochote kile mwaya. Kama hili lisingenitoa huko basi hakuna tena lingine lolote ambalo lingeweza. Leo ni siku ya furaha sana kwangu. I am so happy that nafikiria kuruka angani na kupaa mpaka golden gate bridge na kufanya makelele makubwa sana ili wote wa San Francisco mpaka Manhattan NY wanisikie.

Asante sana Mkjj, ninapanga kuja huko weekend, nitatengeza sambusa za nyanya na vitunguu saumu - no meat please!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom