Uchaguzi 2020 Ubungo, Dar: Boniface Jacob wa CHADEMA aenguliwa kugombea Ubunge

Uchaguzi 2020 Ubungo, Dar: Boniface Jacob wa CHADEMA aenguliwa kugombea Ubunge

Nani analipiza kisasi ?Tatizo walichukua form kabla hata ya wana CCM huo muda walitakiwa watumie kuwasumbua wakurugenzi kuhakiki form kama kila kitu kipo OK.Yaani safari hii Tume wapo macho kosa dogo tu linakuengua. Enzi za JK waliyemwita dhaifu zilishapita.
Mnyika atakuwa anaijutia sana ile kauli yake
 
Huu uchaguzi utakuwa mchungu sana kwa CCM, wanadhani wakiwaengua ndio imeishia hapo, hakuna kitu kama hicho, hii sio serikali za mitaa, watu walijipa likizo kuuvutia kasi huu uchaguzi, huu ujinga hauvumiliwi.
 
Naamini kaenguliwa kwa mijibu wa sheria za uchaguzi za Nchi ,sheria hii nadhani imekuwepo tangu 1985, pia Lisu kaitumia kumwekea pingamizi Komrade JPM na wagombea wengine. Hapa JPM anahusikaje?!
Siyo kila ujinga umtetee Msukuma mwenzio. Subiri tuanze maandamano Nchi nzima ndio utajua huyo huyo msukuma mwenzio ameiingiza Nchi pabaya. Nitaandamana mwanzo mwisho hadi wagombea wote warudishwe na NEC Iundwe upya.
 
Tena ukishajua wewe ni chama cha upinzani ,umakini unatakiwa uwe mkubwa sana tena sana. CCM itakuwa kila jimbo kuna mtu anaelekeza jinsi ya kujaza kwa wale wenye ugumu kwenye kujaza form.
To be honest.Chadema hawako well organised.

Hakuna umakini si wanaongeza maneno tu kwenye fomu ndo unaenguliwa Kwani kuna ugumu gani kuaongeza maandishi kwenye fomu ili ionekane imekosewa
 
Nani analipiza kisasi ?Tatizo walichukua form kabla hata ya wana CCM huo muda walitakiwa watumie kuwasumbua wakurugenzi kuhakiki form kama kila kitu kipo OK.Yaani safari hii Tume wapo macho kosa dogo tu linakuengua. Enzi za JK waliyemwita dhaifu zilishapita.
Duh mama watoto wangu leo umeamua kufunga mtaa wa JF kwakupotosha nitajia wangombea wa ccm walikosea kujaza form nakuengeliwa au ccm wanasoma chuo gani tupeleke watoto wetu wapate PHD za kujaza form vizuri bila kukosea .
 
Wale CCM wengi wazoefu. Na wageni lazima walisaidiwa. Kwani umeona mbunge mzoefu CHADEMA kaenguliwa ?

Mbona hadi Magufuli alikosea kubandika picha ambayo haifai kama uzoefu si ungeanza na mgombea wa urais ilikuwaje akakosea
 
Duh mama watoto wangu leo umeamua kufunga mtaa wa JF kwakupotosha nitajia wangombea wa ccm walikosea kujaza form nakuengeliwa au ccm wanasoma chuo gani tupeleke watoto wetu wapate PHD za kujaza form vizuri bila kukosea .
Tulia wewe. CCM wengi wazoefu. Na wapya lazima waliuliza wenzao mahali ambapo walikuwa hawaelewi. Haya Baba watoto nikuulize kitu kwani kuna Mbunge yeyote mzoefu yaani anaengombea kipindi cha pili/tatu kaenguliwa ?
 
Sasa sijaelewa, kwa hiyo fomu wanakosea kujaza hawa opposition tuu??
Tena siyo opposition tu,malizia wapya wa opposition.Umeona mzoefu Mbunge wa opposition kaenguliwa kisa kakosea kujaza form ?
 
Back
Top Bottom