Ubungo interchange, imepunguza foleni au imepunguza msongamona kwenye eneo la daraja yaani katika mataa ya Ubungo?

Ubungo interchange, imepunguza foleni au imepunguza msongamona kwenye eneo la daraja yaani katika mataa ya Ubungo?

Hilo ndio swali langu kwani ninachokiona ni kupunguza kwa foleni katika eneo la mataa pale Ubungo ila mita chache kutoka hapo unakuta na foleni..

Yes foleni imepungua sana. Naamini Stand ya Ubungo ikiondoka, foleni sitaenda chini zaidi. Yale mabasi yanazingua sana
 
Yes foleni imepungua sana. Naamini Stand ya Ubungo ikiondoka, foleni sitaenda chini zaidi. Yale mabasi yanazingua sana
Imeleta urembo jijini. Ni kama mwanamke aliyevaa hereni ya gold lakini sikio chafu.
 
Kamanda umeishiwa hoja kabisa, umekaukiwa.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Foleni lazima ziwepo tu popote pale. Hata majiji makubwa popote pale hapa duniani foleni zipo haziwezi kwisha bali zinapunguzwa tu. ukitaka kusiwe na foleni kajenge barabara kijijini kwenu lakini hapa mjini lazima kuwe na foleni hilo lazima ulielewe. Makali ya foleni huwa yanapunguzwa tu.

Sahihi
 
Mimi naona daslm inaendelea na kupendeza kidogo kidogo wakiendelea kujenga bara bara ya mwendo kasi mpaka kinyerezi huko itakua imesaidia mno...nililikagua lile daraja kwa kweli nawapa big up wacha niwapongeze tuongee mengine sio lile daraja...
 
Sijui tunahitaji kupata wataalamu wafanye study na kisha kutupa ushauri wa kitaalamu wa kumaliza tatizo la foleni mikoani Dar-es-Salaam?
Hivi watu huwa wanafuata nini Mjini?
1.) Ili kupunguza foleni ,tuondoe hicho kinachofuatwa na wengi mijini tuwawekee huko ngambo ya mji.

2.) Kama kuna uwezo wa kujenga fly over kila junctin kubwa ya barabara ze ifanywe hivyo, badala yake tuboreshe bara bara ndogo ndogo za mitaani ,magomeni,sinza,ubungo kimara na kwengimneko kwa kiwango cha lami.

3.) Kuimarisha public Transport ziwe za kisasa,salama,bora na rahisi. sio mwendo kasi uliojaa msongamano kama UDA ya zamani
 
Traffic light ndio uleta foleni mijini solution ya foleni ni round about mzunguko gari hazisimami zote uzunguka na kuendelea na safarii. Bila raoud about barabara ya kilwa road mbagala foleni yake ingefika vikundi.
Traffic light ni mifumo ya kizamani miaka ya 60 huko ambapo gari zilikuwa chache mijini
 
Pale pameleta nafuu kubwa sana , kwani hapo kabla Mlimani city hapakuwa na foleni?
 
Kwa kawaida mfumo wa interchange kama ule huwa unaondoa msongamano sehemu ulipojengwa na kuihamishia mahala pengine jirani...

Suluhisho la foleni za kudumu ni:
1.Kuwa na interchange/overpass/umderpass karibu kila junction iliyo busy.

2. Kuwa na flyovers zenye kutembea umbali mrefu "expressways", mathalini uwe na njia isiyoingiliwa toka Kibaha hadi Posta, yenyewe inakuwa na exits na entries sehemu kadhaa tu.

3. Dar isiwe Posta au Kariakoo tu.

4. City trains/BRTs za kutosha
Na huo ndio mpango mkakati wa serikali, tuwe wavumilivu
 
Hivi watu huwa wanafuata nini Mjini?
1.) Ili kupunguza foleni ,tuondoe hicho kinachofuatwa na wengi mijini tuwawekee huko ngambo ya mji.

2.) Kama kuna uwezo wa kujenga fly over kila junctin kubwa ya barabara ze ifanywe hivyo, badala yake tuboreshe bara bara ndogo ndogo za mitaani ,magomeni,sinza,ubungo kimara na kwengimneko kwa kiwango cha lami.

3.) Kuimarisha public Transport ziwe za kisasa,salama,bora na rahisi. sio mwendo kasi uliojaa msongamano kama UDA ya zamani

Hamisha vyuo vyote mijini wabakie evening class pekee na sio hostel.
Hamisha hospital ya muhimbili Kila wilaya iwe na muhimbili yake.
Mbezi bus terminal nyumba zote za jirani hamisha zote jenga commercial city KILA kipatikanacho kariakoo kipatikane jirani na stand Ili wafanyabiashara wa mikoani,nchi za jirani wakishuka tu stand wasiende mjini kufunga mizigo
 
Tulia wee ,kuna fly over 32 zitajengwa maeneo mbali mbali ya jiji la Dar .

Ndio maana tuliomba mtupe hii miaka mitano ili tumalizie hizo flyover nyingine na kuhakikisha jiji zima linakuwa a magari ya mwendokasi ,baada ya hapo hakuna gari za abiria zitaruhusiwa kuingia katikati ya mji.
 
Yes foleni imepungua sana. Naamini Stand ya Ubungo ikiondoka, foleni sitaenda chini zaidi. Yale mabasi yanazingua sana
Jioni kuna mabasi gani Morogoro road kuelekea Mbezi?

plans haziwekewi mikakati ya muda mrefu

Barbara kubwa kama ile vituo vya daladala hakuna wanashusha na kupakia abiria njiani,bajaji zinajipanga Baruti,Korogwe foleni itakosekana?

service road hakuna gari ikiharibika tunasota wote
 
Kwa kawaida mfumo wa interchange kama ule huwa unaondoa msongamano sehemu ulipojengwa na kuihamishia mahala pengine jirani...

Suluhisho la foleni za kudumu ni:
1.Kuwa na interchange/overpass/umderpass karibu kila junction iliyo busy.

2. Kuwa na flyovers zenye kutembea umbali mrefu "expressways", mathalini uwe na njia isiyoingiliwa toka Kibaha hadi Posta, yenyewe inakuwa na exits na entries sehemu kadhaa tu.

3. Dar isiwe Posta au Kariakoo tu.

4. City trains/BRTs za kutosha

Nimekuelewa sana mzee mtu nane, Dar isiwe Posta na Kariakoo tu, Trams na BRT, namba mbili yaweza kuwa kubwa kuliko uchumi wetu though.
 
Mkuu hilp lilitarajiwa maana magari pale Ubungo yanapita haraka kwa hiyo maeneo kama Mwenge,Buguruni,KImara,Mbezi foleni lazima itahamia huko.Mwenge kunampango wa kujenga Flyover nyingine,Morroco,Magomeni,hata Tabata.Tatizo jingine lipo kuelekea Kimara maana hii njia ni nyembamba,halafu ukifika Kimara mpaka Kibaha njia 3.Hii ya UBUngo to Kimara itanuliwe na vile vituo vya daladala virudishwe ili kuondoa masongamano.Maana ilivyo sasa ni balaa
 
Hilo ndio swali langu kwani ninachokiona ni kupunguza kwa foleni katika eneo la mataa pale Ubungo ila mita chache kutoka hapo unakuta na foleni.

Kwa mfano, ukitoka Ubungo Interchange mida ya jioni hasa kuanzia saa moja kasoro usiku mpaka saa mbili, ukifika maeneo ya Mlimani City basi ni mwendo wa foleni mpaka Mwenge. Na hapo bado foleni ya kuelekea unakoenda kutoka Mwenge mfano kwenda Bunju.

Swali la msingi ni je, madaraja haya pekee ndio yataweza kumaliza hili tatizo?

Au tujiulize, kipi kinapaswa kuanza kati ya kujenga madaraja ya mabilioni na kupanua barabara zikiwemo highway na barabara zingine zinazounganisha maeneo mbalimbali ya Jiji?

Mfano, billion zaidi ya 200 zinazojenga daraja linalopita baharini zingetumika kuboresha/kujenga/ kupanua barabara zingine zinazounganisha maeneo mbalimbali ya jiji zisingekuwa na msaada zaidi katika kupunguza tatizo la foleni katika jiji hili?

Je, umefika wakati tuweke restrictions za magari binafsi kuingia katika ya Jiji kwa kuweka tozo maalumu za kuingia katikati ya Jiji?

Na bila kuboresha public transport, itakuwa sahihi kuweka restrictions kwa magari binafsi kuingia katika ya Jiji?
Tatizo la Ubungo Interchange ni kule kujaa kwa wagogo jioni kusubiri kulala chini ya daraja na kuomba pesa wapitao njia. Wagogo wakiachiwa kufanya huu ujinga basi Ubungo itakuwa kero tu kwetu wananchi watembeao kwa miguu na waendesha magari.
 
Back
Top Bottom