Hilo ndio swali langu kwani ninachokiona ni kupunguza kwa foleni katika eneo la mataa pale Ubungo ila mita chache kutoka hapo unakuta na foleni..
Imeleta urembo jijini. Ni kama mwanamke aliyevaa hereni ya gold lakini sikio chafu.Yes foleni imepungua sana. Naamini Stand ya Ubungo ikiondoka, foleni sitaenda chini zaidi. Yale mabasi yanazingua sana
No offense, ila una matatizo ya akili.Nyumbu ni wale wanaoamini madaraja ndio suluhisho la foleni katika Jiji la Dar.
Kamanda umeishiwa hoja kabisa, umekaukiwa.
Foleni lazima ziwepo tu popote pale. Hata majiji makubwa popote pale hapa duniani foleni zipo haziwezi kwisha bali zinapunguzwa tu. ukitaka kusiwe na foleni kajenge barabara kijijini kwenu lakini hapa mjini lazima kuwe na foleni hilo lazima ulielewe. Makali ya foleni huwa yanapunguzwa tu.
Kwa kawaida mfumo wa interchange kama ule huwa unaondoa msongamano sehemu ulipojengwa na kuihamishia mahala pengine jirani..
Hivi watu huwa wanafuata nini Mjini?Sijui tunahitaji kupata wataalamu wafanye study na kisha kutupa ushauri wa kitaalamu wa kumaliza tatizo la foleni mikoani Dar-es-Salaam?
Na huo ndio mpango mkakati wa serikali, tuwe wavumilivuKwa kawaida mfumo wa interchange kama ule huwa unaondoa msongamano sehemu ulipojengwa na kuihamishia mahala pengine jirani...
Suluhisho la foleni za kudumu ni:
1.Kuwa na interchange/overpass/umderpass karibu kila junction iliyo busy.
2. Kuwa na flyovers zenye kutembea umbali mrefu "expressways", mathalini uwe na njia isiyoingiliwa toka Kibaha hadi Posta, yenyewe inakuwa na exits na entries sehemu kadhaa tu.
3. Dar isiwe Posta au Kariakoo tu.
4. City trains/BRTs za kutosha
Hivi watu huwa wanafuata nini Mjini?
1.) Ili kupunguza foleni ,tuondoe hicho kinachofuatwa na wengi mijini tuwawekee huko ngambo ya mji.
2.) Kama kuna uwezo wa kujenga fly over kila junctin kubwa ya barabara ze ifanywe hivyo, badala yake tuboreshe bara bara ndogo ndogo za mitaani ,magomeni,sinza,ubungo kimara na kwengimneko kwa kiwango cha lami.
3.) Kuimarisha public Transport ziwe za kisasa,salama,bora na rahisi. sio mwendo kasi uliojaa msongamano kama UDA ya zamani
Jioni kuna mabasi gani Morogoro road kuelekea Mbezi?Yes foleni imepungua sana. Naamini Stand ya Ubungo ikiondoka, foleni sitaenda chini zaidi. Yale mabasi yanazingua sana
Kwa kawaida mfumo wa interchange kama ule huwa unaondoa msongamano sehemu ulipojengwa na kuihamishia mahala pengine jirani...
Suluhisho la foleni za kudumu ni:
1.Kuwa na interchange/overpass/umderpass karibu kila junction iliyo busy.
2. Kuwa na flyovers zenye kutembea umbali mrefu "expressways", mathalini uwe na njia isiyoingiliwa toka Kibaha hadi Posta, yenyewe inakuwa na exits na entries sehemu kadhaa tu.
3. Dar isiwe Posta au Kariakoo tu.
4. City trains/BRTs za kutosha
Tatizo la Ubungo Interchange ni kule kujaa kwa wagogo jioni kusubiri kulala chini ya daraja na kuomba pesa wapitao njia. Wagogo wakiachiwa kufanya huu ujinga basi Ubungo itakuwa kero tu kwetu wananchi watembeao kwa miguu na waendesha magari.Hilo ndio swali langu kwani ninachokiona ni kupunguza kwa foleni katika eneo la mataa pale Ubungo ila mita chache kutoka hapo unakuta na foleni.
Kwa mfano, ukitoka Ubungo Interchange mida ya jioni hasa kuanzia saa moja kasoro usiku mpaka saa mbili, ukifika maeneo ya Mlimani City basi ni mwendo wa foleni mpaka Mwenge. Na hapo bado foleni ya kuelekea unakoenda kutoka Mwenge mfano kwenda Bunju.
Swali la msingi ni je, madaraja haya pekee ndio yataweza kumaliza hili tatizo?
Au tujiulize, kipi kinapaswa kuanza kati ya kujenga madaraja ya mabilioni na kupanua barabara zikiwemo highway na barabara zingine zinazounganisha maeneo mbalimbali ya Jiji?
Mfano, billion zaidi ya 200 zinazojenga daraja linalopita baharini zingetumika kuboresha/kujenga/ kupanua barabara zingine zinazounganisha maeneo mbalimbali ya jiji zisingekuwa na msaada zaidi katika kupunguza tatizo la foleni katika jiji hili?
Je, umefika wakati tuweke restrictions za magari binafsi kuingia katika ya Jiji kwa kuweka tozo maalumu za kuingia katikati ya Jiji?
Na bila kuboresha public transport, itakuwa sahihi kuweka restrictions kwa magari binafsi kuingia katika ya Jiji?