Ubungo: Shule ya Msingi Upendo Kuna Mwalimu ana Master's Degree anafundisha darasa la kwanza

Ndo maana sitaki kusoma tena hii diploma yangu yanitosha
 
Huko kwa wenzetu Japan hayo madarasa yanafundishwa na maprofesa
Acha kulinganisha Japan na nchi ambayo watoto hawana madesk wanakaa chini kwenye vumbi, watoto wanakaa 150 kwenye chumba kimoja, madarasa mawili yanatumia chumba kimoja Kama hii shule ya Upendo nilikofanya ziara. Mwalimu mkuu anapangiwa na mchepuko wake kila kitu.
Shule za Japan walimu Wana maadili mema.
 
Sasa hiyo Masters degree yake ndiyo itumike kuleta mambo mapya hapo shuleni
 
Umechanganya Mambo mengi sana.Kwanza Kuna Masters na Degree,Pili kuna walimu wa Mtaani kuja kufundisha.Sasa Sijajua Shida ni nini?Je ni mwalimu mkuu ndio shida?au ni rafiki yako Ndio Shida?

Mwambie afanye kazi kwa bidii afundishe watoto vizuri na afurahie kazi ya ualimu.Kupata nafasi ya kutengeneza msingi wa watoto ni Priviledge.Afanye Vizuri.Hayo mengine kama ni ya kiuutawala au kiutendaji yafikishe kwenye ofisi husika kwa ajili ya hatua zaidi
 
Ooh kumbe shida ni Mwalimu Mkuu na Mchepuko wake?
 
Ooh kumbe shida ni Mwalimu Mkuu na Mchepuko wake?
Hata Mimi baada ya kuwauliza wenyeji waliniambia mkuu ana tatizo.
Hii shule wengi ni wanawake, hivyo kuzidi kumpa mchepuko apange kila kitu kutumia mihemko ndio shida.
Mfano, darasa la MEMKWA Lina wanafunzi sita (6) Lina ingia saa nne na kutoka saa sita yaani wanasoma masaa mawili lakini Lina walimu ( 6) mmoja ana degree.
Matokeo yake hii nguvu kazi haitumiki ipadavyo. Walimu 6, wanafunzi 6 kwa masaa 2? Wakati darasa la Saba Kuna wanafunzi zaidi ya 200 lakini walimu Ni ( 3) watatu tu.
Afisa elimu,mratibu fiatilieni mkikuta tofauti leteni mrejesho mods wanipige ban ya wiki mbili.
Otherwise nitaibua madudu mengine katika hii manispaa.
 
Mwambie alete CV yake wizarani.
Asije kuwa ana masters ya uchawi unataka tumpe kitengo ale pesa kiulaini.
 
Unaijua
 
Sasa ajabu ni ni ni? Kwamba watoto wafundishwe na wenye elimu ndogo kwakuwa ni level ya chini?
 
Napenda kukufahamisha kwamba, Mimi Niko manispaa ya Ubungo sekta ya elimu.
Ni masikitiko yangu tu kwamba Kuna misallocation ya resources kubwa Sana hapa Ubungo.
Sijui Kama mkurugenzi ana habari.
Kuna watu wako hapa kwa manufaa binafsi, Kuna vigogo hapa Wana ma woman friend wengi tu, hongo kubwa wanayotoa Ni kwenda kusahihisha mitihani ya drs la Saba na fomfoo.
Wasahihishaji mitihani Ni hao hao, miaka nenda miaka Rudi.
Tena umenichokoza.
Ngoja niandae kitu kuhusu mwalimu mkuu wa Upendo na mchepuko wake ambaye Ni ...
 
W
Wewe hauna shahada ya kwanza wala shahada ya uzamili ndiomaana unaonea wivu wenye hizo elimu.

Tena ukiajiriwa ukawakuta astashahada na stashahada ndio wamejaa ofisini .halafu wewe unashahada tambua utapigwa majungu.
 
W

Wewe hauna shahada ya kwanza wala shahada ya uzamili ndiomaana unaonea wivu wenye hizo elimu.

Tena ukiajiriwa ukawakuta astashahada na stashahada ndio wamejaa ofisini .halafu wewe unashahada tambua utapigwa majungu.
Dah rafiki una uhakika Sina hiyo degree Wala master ndugu ? Huko kwenu kuna daktari wa certificate au wa la Saba ?
Karibu ulanzi rafiki ,kampeni zimekaribia niko na diwani tunaweka mikakati ya Kijiji chetu wakati wa uchaguzi
 
Huyo wa masters je kama alisoma childhood education unataka akafyndishe fom6?

Huyo wa memkwa je kama alisoma bed adult education unataka akafyndishe f2?

Ualimu sio kusovu magazijuto tu Kuna mambo mengi.

Masters za ualimu Kwa Sasa ni nyingi mno.
Hahahahaha mkuu umenikumbusha kitu, Nina jamaa angu nilisoma nae Education udsm miaka ya nyuma... Sasa field alienda kufundisha shule Moja ya kata ipo hapo mtaani kwao,, Baba yake akawa anagomba kila siku akisema "inakuwaje unasoma chuo kikuu Cha Dar es salaam halafu unafanya kazi ya ualimu"

Mkuu watu wanadhani mwalimu ni mtu aliyefeli na hana elimu yoyote ya maana ndo maana watu wanashangaa kumuona MTU ana M.A anafundisha primary, wasijue pengine ame specialize huko.

Miaka ya nyuma Kuna wanafunzi nilikua nawafundisha secondary sasa wakifika mpaka chuo kikuu, nikionana nao kipindi Cha likizo ni full kunihadithia mambo ya Udsm cjui udom wakidhan Mimi cjawahi kufika huko... Utasikia kule chuo kikuu boom tunapewa cjui Nini na nini....
 
MEMKWA ni darasa zito na pana sana na huyo,lile ni darasa la makundi rika,unaweza kuta kila mwanafunzi humo darasani ana hatua aliyofikia tofauti na wenzake,kwa wanafunzi 8 unaweza tenga makundi rika kama 6 yaani madarasa sita kwenye stream moja,unaongea tu ili jamaa yako aende sijui darasagani! Kwanza kuna watu wana masters zao mashuleni lkn hawawezi kufundisha,dharula kibao na hata kufundisha hawajui,tofauti na yupe wa upe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…