Nedlloyd
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 10,361
- 27,215
Njoo Mageti au Mtaa wa Muhimbili tunajimwaaga 😛Hapa mbezi kwa robert hakuna maji mwezi sasa.
Yani hata wa magari hawaleti sijui tufanyeje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo Mageti au Mtaa wa Muhimbili tunajimwaaga 😛Hapa mbezi kwa robert hakuna maji mwezi sasa.
Yani hata wa magari hawaleti sijui tufanyeje
Sawa jibu zuri kama la mara antoneta wa French aliyejibu raia if u don't have bread eat cakes
Mhh hapa mtaa wa muhimbili mbona week 3 na zaidi hakuna maji?? Labda huko magetiNjoo Mageti au Mtaa wa Muhimbili tunajimwaaga 😛
Dada tunajimwaaga maji yetu ya Visima Yale unaskiaga maji ya Bigi a.k.a Kusiga 😆😆Mhh hapa mtaa wa muhimbili mbona week 3 na zaidi hakuna maji?? Labda huko mageti
Dah nisaidie nimetume boda hapo aniletee dumu hata 6 mkuu. Yani Leo sijaoga kabisa hata kutoka nimeshidwa. Napigia wa magari siwaoniDada tunajimwaaga maji yetu ya Visima Yale unaskiaga maji ya Bigi a.k.a Kusiga 😆😆
Dawasco umbwaa
Nataka nione lita milioni 70 kutoka kigamboni zinaingia DSM ili kupunguza changamoto ya maji.
Wape ushauri waende wakamulalamikie nani kuhusu tatizo lao la Maji.Wamekosa kazi,unaandamana kuenda kwa DC ambae hatokupa maji,huo Ni utoto ungetumia mda huo kutafuta maji kwingine.
Mtume hapa kifuru-mwanzo huyo boda nimpe maji akuletee mkuuDah nisaidie nimetume boda hapo aniletee dumu hata 6 mkuu. Yani Leo sijaoga kabisa hata kutoka nimeshidwa. Napigia wa magari siwaoni
Mh kifuru mbali sana jaman.... si atachukua elf 10 kwa dumu sita. Asante sana mkuuMtume hapa kifuru-mwanzo huyo boda nimpe maji akuletee mkuu
Maji yapo 94%Hapa Mbezi kwa Robert hakuna maji mwezi sasa.
Yani hata wa magari hawaleti sijui tufanyeje
Mimi pia mita inasoma lakini maji hakunaSasa hizo mita nani husoma?
Au hizo mita hupitisha nini hadi namba zibadilike?
Wakala wa Vipimo atueleze
Marie Antoinettemaria antoneta
Sasa inasoma upepo?Mimi pia mita inasoma lakini maji hakuna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani, maana maji yanaweza toka kidog sana kiasi kwamba tank langu ni la litre 2000 unakuta maji robo lakini kitu kinasoma 3 units za maji zimeondoka. Niliwaita wakadai niende ofisin kwao kutoa taarifa na malalamiko ili meter ichekiwe maana mimi nilikata kulipa bili ya 80,kama nko na kiwamda cha kufyatua tofariSasa inasoma upepo?