Ubungo waandamana ofisini kwa DC kudai Maji

Ubungo waandamana ofisini kwa DC kudai Maji

Wakati huo huo naniliu atasafiri kwenda hong kong kusaini mikataba 25 ya kuuza maparachichi.
 
Siyo Mji Mzima sema Manispaa ya Kinondoni na Ubungo Ila kule Kigamboni,Temeke hata Ilala Maji yapo Watu walijitengenezea Mfumo binafsi usiokuwa unategemea serikali kwa maana Watu walichimba visima na Wakiobahatika kupata Maji yasiyo ya Chumvi walisambaza Kama wafanyavyo Dawasa .Hivyo huwezi sikia kero ya Maji Ilala Temeke Wala Kigamboni na Kama ikitokea ni Mara chache Sana . Ebu fikiri Watu wa Mbagala walivyo Wengi vile lakini Wapo kimya au kule Gezaulole au kule Gongo la mboto. Kwa ufupi Manispaa ya Kinondoni na Ubungo ndizo hasa waathirika zaidi hivyo Ondoa neno Mji Mzima..Halafu kumbukeni Ubungo siyo Jiji la Dar es Salaam
Ilala si kimya. Kwangu mwezi sasa hatujapata maji. Utaratibu wa kusambaza Maji kwa wenye visima haupo kwa wingi.
Wenye visima wanasaidia jirani ila ni mzigo kwao katika matumizi ya umeme.
 
Back
Top Bottom