Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipakacha vya makuti ya mnazi vile vya kubebea matunda na kufungia Alua si tunavyo ila tunaona ushamba!!!Sisi huku tulipiga marufuku rambo tukaleta vifungashio vile vinauzwa jero,ambayo ni plastic ile ile...tukapiga marufuku kiroba tukaruhusu varieties za pombe mbaya kuliko kiroba af tunalalamika hatuoni mapato kwenye tungi kali...sijui kama tunajielewa aysee
Mapambo sio sehemu ya kijamii??? Shekh vip.Haya ni mapambo, vifungashio vya mapambo tuu. Huwezi tumià kama vifungashio vya kijamii.
Namaanisha kuvitumia kwa wingi kama masokoni, minadani na sehemu nyingi za jamii.Mapambo sio sehemu ya kijamii??? Shekh vip.
Huwezi kuvitumia kwa wingi production itakua bado iko low, hiyo ndo hatua ya kwanza hatua ya mass production ndo itafuatiaNamaanisha kuvitumia kwa wingi kama masokoni, minadani na sehemu nyingi za jamii.
Nilita niandike kiingereza nikaona siyo lugha ya wengi hapa.
Naona wewe umemwaga ung'eng'e, hapo kwa kiingereza inaeleweka kirahisi.Huwezi kuvitumia kwa wingi production itakua bado iko low, hiyo ndo hatua ya kwanza hatua ya mass production ndo itafuatia
Kuna maamuzi katika hii nchi yameshikiliwa na mafisadi wa nyanja zoteSisi huku tulipiga marufuku rambo tukaleta vifungashio vile vinauzwa jero,ambayo ni plastic ile ile...tukapiga marufuku kiroba tukaruhusu varieties za pombe mbaya kuliko kiroba af tunalalamika hatuoni mapato kwenye tungi kali...sijui kama tunajielewa aysee
Kwa minazi tuliyo nayo tunaweza kutengeneza varietiesView attachment 3247338Sisi si tuna zetu ila tulikuwa tunaona ni Ushamba .
Now tunasifia vya wenzetu
Tusiwe mabingwa wa kukatishana tamaa.. Tuna majani ya kila aina Tanganyika.. Tunaweza kuamua vifungashio vyote vya vyakula hasa take aways viwe vya majani.. Tunaweza kukutana na changamoto kwenye hili lakini changamoto ndio akili ya kuboresha na kufanya vema zaidi na ubunifu zaidiHaya ni mapambo, vifungashio vya mapambo tuu. Huwezi tumià kama vifungashio vya kijamii.
0781515650Tusiwe mabingwa wa kukatishana tamaa.. Tuna majani ya kila aina Tanganyika.. Tunaweza kuamua vifungashio vyote vya vyakula hasa take aways viwe vya majani.. Tunaweza kukutana na changamoto kwenye hili lakini changamoto ndio akili ya kuboresha na kufanya vema zaidi na ubunifu zaidi
Kwa kuanzia tunaweza kuamua maeneo fulani na vyakula fulani vitumie hivyo vifungashio tuu