Ubunifu mchanganyiko: unaweza kuona jinsi tulivyoachwa mbali na wenzetu

1740369128973.jpg
 
Sisi huku tulipiga marufuku rambo tukaleta vifungashio vile vinauzwa jero,ambayo ni plastic ile ile...tukapiga marufuku kiroba tukaruhusu varieties za pombe mbaya kuliko kiroba af tunalalamika hatuoni mapato kwenye tungi kali...sijui kama tunajielewa aysee
 
Vipak

Vipakacha vya makuti ya mnazi vile vya kubebea matunda na kufungia Alua si tunavyo ila tunaona ushamba!!!
 
Haya ni mapambo, vifungashio vya mapambo tuu. Huwezi tumià kama vifungashio vya kijamii.
 
Mapambo sio sehemu ya kijamii??? Shekh vip.
Namaanisha kuvitumia kwa wingi kama masokoni, minadani na sehemu nyingi za jamii.
Nilita niandike kiingereza nikaona siyo lugha ya wengi hapa.
 
Huwezi kuvitumia kwa wingi production itakua bado iko low, hiyo ndo hatua ya kwanza hatua ya mass production ndo itafuatia
 
Naona wewe umemwaga ung'eng'e, hapo kwa kiingereza inaeleweka kirahisi.
 
Sisi huku tulipiga marufuku rambo tukaleta vifungashio vile vinauzwa jero,ambayo ni plastic ile ile...tukapiga marufuku kiroba tukaruhusu varieties za pombe mbaya kuliko kiroba af tunalalamika hatuoni mapato kwenye tungi kali...sijui kama tunajielewa aysee
Kuna maamuzi katika hii nchi yameshikiliwa na mafisadi wa nyanja zote
 
Haya ni mapambo, vifungashio vya mapambo tuu. Huwezi tumià kama vifungashio vya kijamii.
Tusiwe mabingwa wa kukatishana tamaa.. Tuna majani ya kila aina Tanganyika.. Tunaweza kuamua vifungashio vyote vya vyakula hasa take aways viwe vya majani.. Tunaweza kukutana na changamoto kwenye hili lakini changamoto ndio akili ya kuboresha na kufanya vema zaidi na ubunifu zaidi
Kwa kuanzia tunaweza kuamua maeneo fulani na vyakula fulani vitumie hivyo vifungashio tuu
 
0781515650
 
Back
Top Bottom