Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #141
Para chichi hilo😋😋😋😋Chakula hiki kinaitwaje ?!
Kinapikwa na watu wa mkoa gani?
Mchanganyiko wa nini na nini?
Ukiangalia ni kama viazi vimepondwapondwa na kusongwa hivi na kuchanganywa na njegere tatizo hiyo rangi ya kijani ndio imefanya chakula kisieleweke kumechanganywa nini na nini!