Uchaguzi 2020 Ubunifu wa Godbless Lema na Halima Mdee utumike nchi nzima

Uchaguzi 2020 Ubunifu wa Godbless Lema na Halima Mdee utumike nchi nzima

Mfano sisiemu walisema wasingetumia wasanii kwenye kampeni za mwaka huu, ila cha kushangaza ndio wamebeba karibia wasanii wote na wanatembea nao
Hebu leta mfano wa chadema kama unasema wote wana vigeu geu!
Hata polepole huwapiga Panga kwenye malipo yao lakini wamevumilia kwani wakidai pesa zao wawaweza kufanyiziwa chochote
 
Mi nilifikiri watawaonesha/kuwaambia wapiga kura wao tumefanya hivi mkituchagua tena tutaendelea kufanya hivi, au hawana chakuwambia/kuwaonesha wapiga kura?
 
Mfano sisiemu walisema wasingetumia wasanii kwenye kampeni za mwaka huu, ila cha kushangaza ndio wamebeba karibia wasanii wote na wanatembea nao
Hebu leta mfano wa chadema kama unasema wote wana vigeu geu!
Chadema walituambia LOWASSA ni fisadi papa , baadae wakatuambia Lowassa sio fisadi ila mfumo wa ccm ndio mbovu
 
Mimi hapa naona tunyukane tu ngumi tung'oane meno ndipo heshima itakuwa
 
Chadema walituambia LOWASSA ni fisadi papa , baadae wakatuambia Lowassa sio fisadi ila mfumo wa ccm ndio mbovu
Alipoingia CHADEMA Magufuli alimwita fisadi na kuwa amemkimbia, lakini aliporudi CCM alikaribishwa live kwenye media, kuthibitisha mfumo ndio tatizo.

Uwanja mkubwa wa ndege kujengwa kijijini kwa Rais, na tenda kupewa mume mwenza ni dalili za ufisadi wa kitaasisi
 
Naunga mkono hoja.

Lissu aweke zile.clips za Rais wetu mpendwa anaposema yafuatayo:
1) Maendeleo hayana chama
2) Msipochagua mgombea wa CCM siwezi kuleta maji, mtajuta
3) Maji ukamdai mbunge wako au mume wako
4) Rais akiapa atawaongoza watu wote bila ya upendeleo na bila ya ubaguzi wa aina yoyote
5) Nichagueni mimi ni msukuma mwenzenu, tena tunatoka eneo moja
6) Uchaguzo utakuwa huru na wa haki
7) Tutatumia dola kushinda uchaguzi

Ongezeni na mengine
 
Rais mpenda watu, kipenzi cha Watanzania akiwa na unyenyekevu wa hali ya juu

Maguful.jpg

Labda unyenyekevu una maana tofauti kwako...tazama tu hiyo sura!
Kwa sasa yawezekana spana za Mh. Lissu zinaanza kumkumbusha unyenyekevu ni mdudu gani!
Tutaelewana tu mwaka huu!​
 
Chadema walituambia LOWASSA ni fisadi papa , baadae wakatuambia Lowassa sio fisadi ila mfumo wa ccm ndio mbovu
Kwa hio ulitaka CHADEMA ndio wafanye uchunguzi wakisha baini wapeleke mahakamani, sio..!?
Hivi vichwani mwenu kuna nini!?
 
Jibu hoja kwanza ya wasanii

Lowassa alivyoenda CHADEMA Meko alisema fisadi Kanikimbia, alivyorudi CCM kakaribishwa live na media, au ulikuwa umelala
Ndio maana nikasema wote ni vigeu geu.
 
Back
Top Bottom