Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna clip za chadema kumsafisha Lowasa, VP unaziongeleaje?
Kumkosoa Nyerere siyo kosa wala dhambi....ila kumtukana Nyerere na mtu mwingine yeyote ni kosa na dhambi pia...Lissu alimtukana Nyerere Mara kadhaa kwa hiyo ana kosa...ila labda aliungama kwani alitamba kwenye Twitter kuwa amelala nyumbani kwa mwalimu mwitongo butiama wakati wa kampeni hizi zinazoendelea..Mbona mnapenda sana kuabudu wanadamu? Katika akili yako unaona ni dhambi kumkosoa Nyerere? Nyerere mwenyewe alisema tujikosoe. Mwalimu alikuwa na akili kuliko ufuasi wako kipofu huo.
Ndiyo maana nimeeleza hapa kuwa uelewa wako ni wa kiwango Cha chini Sana tena Sana...pole Sana...Sina muda wa kusoma upuuzi wako wote hapa. Nimesoma aya ya kwanza. Unasema mimi nisipewe nchi. Kwa ujinga wako unafikiri mimi ni mgombea? Mi ni Mtanzania wa kawaida tu ambaye nahitaji uhuru na maendeleo.