Zote zilinganishwe tu na za Rais kula rambirambi, kutukana wanawake na kuwadhalilisha, uongo wa computer kila mwalimu, mil 50 kila kijiji nk... halafu wapiga kura walinganishe jinsi uongo wa Rais ama Lema ulivyo waangusha.
Mbona mnapenda sana kuabudu wanadamu? Katika akili yako unaona ni dhambi kumkosoa Nyerere? Nyerere mwenyewe alisema tujikosoe. Mwalimu alikuwa na akili kuliko ufuasi wako kipofu huo.
Kumkosoa Nyerere siyo kosa wala dhambi....ila kumtukana Nyerere na mtu mwingine yeyote ni kosa na dhambi pia...Lissu alimtukana Nyerere Mara kadhaa kwa hiyo ana kosa...ila labda aliungama kwani alitamba kwenye Twitter kuwa amelala nyumbani kwa mwalimu mwitongo butiama wakati wa kampeni hizi zinazoendelea..
Sina muda wa kusoma upuuzi wako wote hapa. Nimesoma aya ya kwanza. Unasema mimi nisipewe nchi. Kwa ujinga wako unafikiri mimi ni mgombea? Mi ni Mtanzania wa kawaida tu ambaye nahitaji uhuru na maendeleo.