AiseeTundu Lissu ameamua kufuata ubunifu wa wanasiasa na viongozi kama Kwame Nkrumah, Nelson Mandela, Mahatma Gandhi, Muammar Gaddafi, Julius Malema, Thomas Sankara na wengine. Hao walibuni mitindo ya mavazi na mwonekano, na wafuasi wengi katika jamii zao wakawaiga. Kuna uwezekano mkubwa watu wengi wataacha kunyoa au kuchana nywele zao kwa kumuiga TL. Je, uigaji huo unaweza kuleta faida au madhara katika jamii inayomuangalia na kumfuata TL? Mimi naona madhara yafuatayo:
Watakaoiga mtindo huo wa nywele, wanaweza kuingiwa na uvivu wa kujitunza(self-neglect). Wataanza kutokunyoa au kutokuchana nywele, mwisho wataacha kuoga na kufua nguo. Hii inaweza kuwasababishia magonjwa ya ngozi.
Biashara za vinyozi, wauza mafuta ya nywele na vitana, zitakosa soko.
Hayo ni baadhi ya madhara au hasara ninazoziona, watu wakiiga mtindo wa Tundu Lissu wa kuacha kunyoa au kuchana nywele.
Wewe vipi, unaona faida au madhara?
Aaahaa dahNi rasmi Sasa jamaa wanawehuka. Ahsante Mungu.
Wewe ni Dr wa Manesi tu au unatibu na waliowehuka?Ni rasmi Sasa jamaa wanawehuka. Ahsante Mungu.
kabuni kutibua minywele, right?🤣Tundu Lissu ameamua kufuata ubunifu wa wanasiasa na viongozi kama Kwame Nkrumah, Nelson Mandela, Mahatma Gandhi, Muammar Gaddafi, Julius Malema, Thomas Sankara na wengine. Hao walibuni mitindo ya mavazi na mwonekano, na wafuasi wengi katika jamii zao wakawaiga. Kuna uwezekano mkubwa watu wengi wataacha kunyoa au kuchana nywele zao kwa kumuiga TL. Je, uigaji huo unaweza kuleta faida au madhara katika jamii inayomuangalia na kumfuata TL? Mimi naona madhara yafuatayo:
Watakaoiga mtindo huo wa nywele, wanaweza kuingiwa na uvivu wa kujitunza(self-neglect). Wataanza kutokunyoa au kutokuchana nywele, mwisho wataacha kuoga na kufua nguo. Hii inaweza kuwasababishia magonjwa ya ngozi.
Biashara za vinyozi, wauza mafuta ya nywele na vitana, zitakosa soko.
Hayo ni baadhi ya madhara au hasara ninazoziona, watu wakiiga mtindo wa Tundu Lissu wa kuacha kunyoa au kuchana nywele.
Wewe vipi, unaona faida au madhara?
View attachment 3621618
I presume, walimu watapata kazi sana shuleni. Itakuwa vigumu kuwakanya wanafunzi waliotibua minywele. Watakuwa wanajitetea: "Mbona TL ametibua minywele na anadunda tu hata mbele ya waheshimiwa majaji?"kabuni kutibua minywele, right?🤣
I think it will be very dangerous and chaotic identity, that might cause people to be isolated or identified and harmed easily by those who are against that nonsense.I presume, walimu watapata kazi sana shuleni. Itakuwa vigumu kuwakanya wanafunzi waliotibua minywele. Watakuwa wanajitetea: "Mbona TL ametibua minywele na anadunda tu hata mbele ya waheshimiwa majaji?"
Is this becoming a new normal? Your thoughts?