Ubunifu wa Tundu Lissu utaleta faida au madhara kwa jamii?

Ubunifu wa Tundu Lissu utaleta faida au madhara kwa jamii?

Nan kakwambia ukiwa mfuasi wa mtu lazma uige hair style yake🤔
Kwani hujaona TL alivyoshangaa kumuona mfuasi wake ana nywele safi mpaka akauliza: "Huyu hajaelewa somo?"

Unafikiri kwanini enzi za Mwalimu, watu wengi walipenda kuvaa Kaunda suit?
Ooh, sorry, kumbe we ni GenZ, ulikuwa bado hujazaliwa wakati huo, huwezi kujibu swali hilo.
 
Siku zote mastaa ndio wanaoigwa, positive or negative. Hata hivyo huo mtindo wa Lisu upo tangu kale si mgeni.
 
Mitindo ya nywele ipo mingi inafanywa na watu wasio na umaarufu, sema Lissu ni maarufu kiasi kwamba chochote anachokifanya ni fasheni, hata akinyoa bado itaonekana ni mtindo tu. angekuwa si mashuhuri hakuna mtu angeangalia style zake za kuweka haiba yake
 
Cha ajabu nini? Mtua anaweza kuweka nadhiri kwamba sitanyoa nywele wala kuchana mpaka nipatiwe haki yangu, wapo wanaonyoa vipara kama ishara ya kuomboleza msiba fulani unaomhusu. Nywele zina mitindo mingi kutokana na haiba ya mtu yuko katika hali gani, furaha au huzuni na maombolezo
 
Idara yetu imeshindwa kabisa spinning,ina maana hakuna njia nyingine ya spinning Hadi tutumie gereza!!?

Mtu anadai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi,kwani kupeleka huo muswada bungeni na kuanza kujadili tunashindwa!!?

Yaani tunashindwa nini kuhamisha mijadala ya kisiasa kuwa bungeni badala ya maandamano na mikutano mitaani!!?

Sawa
 
Kwani hujaona TL alivyoshangaa kumuona mfuasi wake ana nywele safi mpaka akauliza: "Huyu hajaelewa somo?"

Unafikiri kwanini enzi za Mwalimu, watu wengi walipenda kuvaa Kaunda suit?
Ooh, sorry, kumbe we ni GenZ, ulikuwa bado hujazaliwa wakati huo, huwezi kujibu swali hilo.
Mbna wafuasi wa yesu wengi wao wameoa na wananyoa vipala irihali yesu mwenyewe hakuyafanya hayo
 
Faida ni mdogo kuliko madhara ambayo Yana weza kuwa na faida kubwa mbeleni lakini huku yakiwa acha watu na vidonda visivyo futika mpaka vifo vyao
 
Faida ni mdogo kuliko madhara ambayo Yana weza kuwa na faida kubwa mbeleni lakini huku yakiwa acha watu na vidonda visivyo futika mpaka vifo vyao
 
Back
Top Bottom