Kwani hujaona TL alivyoshangaa kumuona mfuasi wake ana nywele safi mpaka akauliza: "Huyu hajaelewa somo?"Nan kakwambia ukiwa mfuasi wa mtu lazma uige hair style yake🤔
wanawehuka wapi wakati huo mtindo una maana yake? Mnashangaa nini wakati mitindo ya nywele humaanisha kitu fulaniNi rasmi Sasa jamaa wanawehuka. Ahsante Mungu.
Kama nitakuepo sita sita kukuhabarishaUmekaa siti ya mbele kabisa, okay.
Usisahau kutuhabarisha itakavyokuwa mwishoni
Nadhani ni kanuni iliyopo kwa mahabusu na wafungwa. Au imekaaje, nieleweshe mkuu.Alianza lini kuitwa mfungwa?
Mbna wafuasi wa yesu wengi wao wameoa na wananyoa vipala irihali yesu mwenyewe hakuyafanya hayoKwani hujaona TL alivyoshangaa kumuona mfuasi wake ana nywele safi mpaka akauliza: "Huyu hajaelewa somo?"
Unafikiri kwanini enzi za Mwalimu, watu wengi walipenda kuvaa Kaunda suit?
Ooh, sorry, kumbe we ni GenZ, ulikuwa bado hujazaliwa wakati huo, huwezi kujibu swali hilo.
Suala sio kumuweka iyo Hali imemtokea automatically kutokana na mazingira aliyopo Lakini masela wa kitaa wanafanya hivyo kwa kupenda.⁶
Kwahiyo TL unamuweka kundi moja na masela wa kitaa?