Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Acheni siasa mapenzi hayana magomvi na serikali dhalimuVyuo vimefungwa
Maisha matamu na mapenzi matamu kila wakati na kila siku tuishi na ubunifuMungu ibariki Africa.
Mungu ibariki Tanzania
M pesa, Tigo pesa, halopesa, Airtel money, Azam pesa, Hela ya mchezo, Vicoba, Bayport, CRDB, NMB, Absa, Exim
bila kusahau KAUSHA DAMUMungu ibariki Africa.
Mungu ibariki Tanzania
M pesa, Tigo pesa, halopesa, Airtel money, Azam pesa, Hela ya mchezo, Vicoba, Bayport, CRDB, NMB, Absa, Exim
Kaushal damu nao ni ubunifu au ni vikwazo katika kujenga legacy hata kama unajua mauno π€£π€£π€£ chezeni critoria vizuri kwa mauno peresuperesubila kusahau KAUSHA DAMU
Hakika tena sio tunda tu kula tunda kwa kukata mauno kama ya dance za kikongoLegacy?..
Legacy ya Nyerere,legacy ya Kikwete..
Na wewe Una legacy ya Kula tunda??