Ubutu wa Primera Liga waanza kuthibitika

Mwakalinga ukishatulia na kuondoa jazba utakuja kuelewa nilichoandika .
 
Anamfunga sana barcelona,chelsea amenyakua UEFA mara ngapi?,chelsea bado ni mtoto mdogo sana UEFA,mafanikio ya barcelona ya ulaya uta linganisha na timu ya kata chelsea?
Tupe statistics mkuu... Chelsie kamfunga Mara ngap barca na Chelsie nae kafungwa Mara ngap il twende sawa....sio lugha Chelsie kamfunga Mara nying sana bla uzbitisho....yawezekana Chelsie kashinda Mara 2 ndo unaona nying..
 
Sevilla kakalishwa na timu inayopapatua isishuke daraja uko
 
Sevilla kakalishwa na timu inayopapatua isishuke daraja uko
Lau kama ligi ya spain na ya EPL zinawekwa pamoja na kucheza kwa pamoja kama ligi za kawaida, timu za spain zitasuasua zikikutana na za uingereza. Bingwa wa europa mara 3 sijui 2 mfululizo, amekutana na leceister timu inayopigana isishuke daraja..... watu wakiambiwa uingereza kugumu wanafikiri tunatania.
 
Hawatochomoza apa, wataendelea kuisifu uefalona kwa kuitoa psg
 
Wanakamia tu hao, wewe huoni walikuwa wanacheza kwa kujilinda zaidi na kupiga counter atack? Haitaji degree kuona nani aikuwa dhaifu na tena akiwa kwao.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…