[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]We hujui mashushushu /wajasusi wengi ni wa kiume?
Kumbe Da Mange kasema? Aisee Da Mange bana akisema anasema.Mawazo yako mkuu, nimeandika kawaida kabisa... kwamba Da Mange kasema Dai anamiliki asilimia 20. Sasa huo mtindo unaosema ni wa kike uko wapi?
sasa mange na UEFA na Arsenal na raisi wetu na sallam na udikteta vina uhusiano gani?mbona kama umepanic brother, relax kisha shusha nondoHuyu alisema nyumba ya South si yake, watoto wa diamond si wake leo redio si yake Lakin hajawahi kututajia vitu diamond anavyomiliki, alafu huu upuuzi eti kusaga anataka kuicha CMG, hivi mtu aiache bidhaa iliyosimama eti akandeleze project mpya huu uwendawazimi. Nakuhusu sallam jamaa kichwa sana ila ni invisible, nyuma ya mafanikio ya AY kibiashara yupo sallam na paka kesho yy ndiye anazimanage, jamaa anaendesha mgahawa mlimani city, anadizzim online na yy ndio msanii ambaye ni wakala wa Davido na Wizkid EA, huku manager wa wizkid, Sunday anasimamia kazi za Diamond West Africa. Show Fiesta ya davido sallam ndiye aliyemtafuta davido na kumleta Dar na ndiye yy aliyefanikisha collaboration ya Diamond na davido na mwisho jamaa ana biashara zake Rwanda. Alafu na nyie huyu dem kawageuza misukule, yaani collabo zote za Diamond kasimamia Ruge, mbona anashindwa kufanya hivyo kwa wasanii wake wa THT akina Lina na Barnaba. Mimi naichukia sana Man utd lkn ukweli man ana UEFA tatu, lkn mimi Arsenal sijawahi kuchukua UEFA, lkn huyu dem kila kitu kwake anachofanya Diamond ni NEGATIVE mimi MPAKA NAJIULIZA DIAMOND ALIMFANYA NINI HUYU, si kwa chuki hizi za kubadili uwongo kuwa mkweli. Sallam ana nguvu sana number 1 original imepigwa Trace na MTV, baada ya sallam, kwani Seven aliweka fitina South, sallam akawatumia trace Nigeria na hatimae ndio Trace, MTV na channel O za South Africa wakaanza kupiga. Acheni KUWA MISUKULE YA MANGI kila kitu ndio, Mange ni MPUUZI, HOPELESS we mtu upo marekani unashindwa kupata kibarua cha kufanya, unapiga umbeya yaani bora yule dada wa uswazi anayechoma vitumbua, kuliko kusikiliza upuuzi wa huyu. Narudia kwa wale wachimbaji HIVI DIAMOND PLATNUMZ ALIMFANYA NINI MANGE MAANA SI KWA CHUKI HIZI. Anatumtukana rais wetu dikteta, wakati yy analazimisha watu wafikiri kama yy kwani hataki kukosolewa, sasa huo nao si udikteta, MPUUZI HUYU NA HAO WAPUUZI WENZAKE WANAOMFOLLOW NDIO WANAMPA KICHWA.
Ufikiri wa akili namna hii haufai kwenye umbea...umbea unataka we umuamini tu wholeheartdly anaekupa umbea bila kuhoji wala ku judge.... Usitumie akili kubwa ku encrypt codes za umbea mkuu,ni matumizi mabaya ya rasilimaliKwa hyo kusaga na ruge wana bifu.ILA WAO WENYEWE HAWAJUI ANAKUJA KUJUA MANGE?kusaga aache clouds akaanzishe wcb radio?
Hapa pagumu kidogo KUAMINI.
She's sick........matatizo makubwa ya akili na sonona yanayotokana na roho mbaya.yeye kila aliefanikiwa laima awe mshikaji wake na asipokua atamtafuta amtusi humu...Huyu Mange si ndio alisema Ivan ame fake kifo .....hivi anafanya kazi gani huko kwa Trump.?
Amna muelea jmaa nikama amekebei wa2 wengi walivyo athiriwa na uyo mange[emoji3]utata umekuja zaidi,,Pale aliposema Da Mange[emoji3]
Kweli?Niliwahi kumpasha ukweli Mange akaniblock! Mange is a coward, ni mwepesi kuliko unyoya.
Hana kifua cha kuhimili hoja nzito. Ni vile tu kajificha nyuma ya keyboard na kwenye nchi za watu.
Kweli kabisaaHuyu alisema nyumba ya South si yake, watoto wa diamond si wake leo redio si yake Lakin hajawahi kututajia vitu diamond anavyomiliki, alafu huu upuuzi eti kusaga anataka kuicha CMG, hivi mtu aiache bidhaa iliyosimama eti akandeleze project mpya huu uwendawazimi. Nakuhusu sallam jamaa kichwa sana ila ni invisible, nyuma ya mafanikio ya AY kibiashara yupo sallam na paka kesho yy ndiye anazimanage, jamaa anaendesha mgahawa mlimani city, anadizzim online na yy ndio msanii ambaye ni wakala wa Davido na Wizkid EA, huku manager wa wizkid, Sunday anasimamia kazi za Diamond West Africa. Show Fiesta ya davido sallam ndiye aliyemtafuta davido na kumleta Dar na ndiye yy aliyefanikisha collaboration ya Diamond na davido na mwisho jamaa ana biashara zake Rwanda. Alafu na nyie huyu dem kawageuza misukule, yaani collabo zote za Diamond kasimamia Ruge, mbona anashindwa kufanya hivyo kwa wasanii wake wa THT akina Lina na Barnaba. Mimi naichukia sana Man utd lkn ukweli man ana UEFA tatu, lkn mimi Arsenal sijawahi kuchukua UEFA, lkn huyu dem kila kitu kwake anachofanya Diamond ni NEGATIVE mimi MPAKA NAJIULIZA DIAMOND ALIMFANYA NINI HUYU, si kwa chuki hizi za kubadili uwongo kuwa mkweli. Sallam ana nguvu sana number 1 original imepigwa Trace na MTV, baada ya sallam, kwani Seven aliweka fitina South, sallam akawatumia trace Nigeria na hatimae ndio Trace, MTV na channel O za South Africa wakaanza kupiga. Acheni KUWA MISUKULE YA MANGI kila kitu ndio, Mange ni MPUUZI, HOPELESS we mtu upo marekani unashindwa kupata kibarua cha kufanya, unapiga umbeya yaani bora yule dada wa uswazi anayechoma vitumbua, kuliko kusikiliza upuuzi wa huyu. Narudia kwa wale wachimbaji HIVI DIAMOND PLATNUMZ ALIMFANYA NINI MANGE MAANA SI KWA CHUKI HIZI. Anatumtukana rais wetu dikteta, wakati yy analazimisha watu wafikiri kama yy kwani hataki kukosolewa, sasa huo nao si udikteta, MPUUZI HUYU NA HAO WAPUUZI WENZAKE WANAOMFOLLOW NDIO WANAMPA KICHWA.
Na stori imeishia hapa jomoni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijui kwa nini but I do believe in Mange haswa kwa hili 100%
Unaamini kwa sababu ni anti diamondSijui kwa nini but I do believe in Mange haswa kwa hili 100%
Mkuu tulio blockiwa tupo wengi,kule anataka wafuwasi tu hataki kupingwa.Niliwahi kumpasha ukweli Mange akaniblock! Mange is a coward, ni mwepesi kuliko unyoya.
Hana kifua cha kuhimili hoja nzito. Ni vile tu kajificha nyuma ya keyboard na kwenye nchi za watu.
Nipo mkuu yani aibu wanaume kumshabikia mangeMkuu upo nawacheki misukule ya mange humu
Mange mwehu tu
[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]wityyyyNa stori imeishia hapa jomoni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]