Ubuyu wa Diamond, Ruge na Kusaga

Ubuyu wa Diamond, Ruge na Kusaga

Hii story ya Mange ina ukweli fulani, wengine toka zamani tulishasikia Ruge ni mbabe kwenye Entertainment business hapa mjini, na ndio brains behind Clouds, na Kusaga alishasikia complaints za Ruge, kwamba anataka shares kwenye Clouds, Kusaga siku zote amekuwa mbishi kugawana na Ruge, Kusaga kachoka na hizo complaints, naona anataka kuendelea kuwa mwenye shares kubwa na CEO wa mambo yote anayoyaanzisha, Ruge na Kusaga kibiashara lazima yaishe, kila mtu kivyake..
Clouds kuwa na madeni hiyo nayo twaijuwa, sana tu, na kwa sasa hakuna ujanja, lazima iende Bankrupt tu, story za Mange nyingi zina ukweli..
Ila yoyote mwenye hela TZ akitaka kuanzisha Entertainment business, tunakushauri uonane na Ruge, Ruge hana mfano TZ kwenye swala hili, haongei sana, akili sana kwenye hii biashara, hana makeke, a silent killer kwenye mambo yake, he is a genius kwenye fani yake..
Ni maisha, wamalizane salama tu..
 
Huyu alisema nyumba ya South si yake, watoto wa diamond si wake leo redio si yake Lakin hajawahi kututajia vitu diamond anavyomiliki, alafu huu upuuzi eti kusaga anataka kuicha CMG, hivi mtu aiache bidhaa iliyosimama eti akandeleze project mpya huu uwendawazimi. Nakuhusu sallam jamaa kichwa sana ila ni invisible, nyuma ya mafanikio ya AY kibiashara yupo sallam na paka kesho yy ndiye anazimanage, jamaa anaendesha mgahawa mlimani city, anadizzim online na yy ndio msanii ambaye ni wakala wa Davido na Wizkid EA, huku manager wa wizkid, Sunday anasimamia kazi za Diamond West Africa. Show Fiesta ya davido sallam ndiye aliyemtafuta davido na kumleta Dar na ndiye yy aliyefanikisha collaboration ya Diamond na davido na mwisho jamaa ana biashara zake Rwanda. Alafu na nyie huyu dem kawageuza misukule, yaani collabo zote za Diamond kasimamia Ruge, mbona anashindwa kufanya hivyo kwa wasanii wake wa THT akina Lina na Barnaba. Mimi naichukia sana Man utd lkn ukweli man ana UEFA tatu, lkn mimi Arsenal sijawahi kuchukua UEFA, lkn huyu dem kila kitu kwake anachofanya Diamond ni NEGATIVE mimi MPAKA NAJIULIZA DIAMOND ALIMFANYA NINI HUYU, si kwa chuki hizi za kubadili uwongo kuwa mkweli. Sallam ana nguvu sana number 1 original imepigwa Trace na MTV, baada ya sallam, kwani Seven aliweka fitina South, sallam akawatumia trace Nigeria na hatimae ndio Trace, MTV na channel O za South Africa wakaanza kupiga. Acheni KUWA MISUKULE YA MANGI kila kitu ndio, Mange ni MPUUZI, HOPELESS we mtu upo marekani unashindwa kupata kibarua cha kufanya, unapiga umbeya yaani bora yule dada wa uswazi anayechoma vitumbua, kuliko kusikiliza upuuzi wa huyu. Narudia kwa wale wachimbaji HIVI DIAMOND PLATNUMZ ALIMFANYA NINI MANGE MAANA SI KWA CHUKI HIZI. Anatumtukana rais wetu dikteta, wakati yy analazimisha watu wafikiri kama yy kwani hataki kukosolewa, sasa huo nao si udikteta, MPUUZI HUYU NA HAO WAPUUZI WENZAKE WANAOMFOLLOW NDIO WANAMPA KICHWA.
sasa mange na UEFA na Arsenal na raisi wetu na sallam na udikteta vina uhusiano gani?mbona kama umepanic brother, relax kisha shusha nondo
 
Kwa hyo kusaga na ruge wana bifu.ILA WAO WENYEWE HAWAJUI ANAKUJA KUJUA MANGE?kusaga aache clouds akaanzishe wcb radio?
Hapa pagumu kidogo KUAMINI.
Ufikiri wa akili namna hii haufai kwenye umbea...umbea unataka we umuamini tu wholeheartdly anaekupa umbea bila kuhoji wala ku judge.... Usitumie akili kubwa ku encrypt codes za umbea mkuu,ni matumizi mabaya ya rasilimali
 
Kuna KIKI nyingi sana kina ndugu tuzifikirie kuhusu Diamond, hasa kuhusu nyumba SA, Karanga, Perfume, Majumba, n.k. n.k.
Zote hizo ni KIKI tu, kumbukeni tu ya TRA, walivyoenda pale, walipata aibu, hela waliofikiria huyu Diamond anayo kumbe siyo! Tuwe makini sana na KIKI za mtaani...
Mange is right again, Diamond hana hela kiasi hicho..
 
Huyu Mange si ndio alisema Ivan ame fake kifo .....hivi anafanya kazi gani huko kwa Trump.?
She's sick........matatizo makubwa ya akili na sonona yanayotokana na roho mbaya.yeye kila aliefanikiwa laima awe mshikaji wake na asipokua atamtafuta amtusi humu...
nb:yeye simshangai sana........nawashangaa sanan wanaomuamini na kumshabikia mitandaoni, yaani wengine huwa wanaonekana wana akili kabisa
 
Niliwahi kumpasha ukweli Mange akaniblock! Mange is a coward, ni mwepesi kuliko unyoya.
Hana kifua cha kuhimili hoja nzito. Ni vile tu kajificha nyuma ya keyboard na kwenye nchi za watu.
Kweli?
Mbona sote tumejificha nyuma ya keyboard? Si hata wewe umejificha nyuma ya keyboard?

Anyways, hapo nilikuwa naweka mambo sawa tu. Ila kwa suala la kuwa na kifua au mgongo, siwezi kuchangia maana siijui hiyo vita yenu.
 
Huyu alisema nyumba ya South si yake, watoto wa diamond si wake leo redio si yake Lakin hajawahi kututajia vitu diamond anavyomiliki, alafu huu upuuzi eti kusaga anataka kuicha CMG, hivi mtu aiache bidhaa iliyosimama eti akandeleze project mpya huu uwendawazimi. Nakuhusu sallam jamaa kichwa sana ila ni invisible, nyuma ya mafanikio ya AY kibiashara yupo sallam na paka kesho yy ndiye anazimanage, jamaa anaendesha mgahawa mlimani city, anadizzim online na yy ndio msanii ambaye ni wakala wa Davido na Wizkid EA, huku manager wa wizkid, Sunday anasimamia kazi za Diamond West Africa. Show Fiesta ya davido sallam ndiye aliyemtafuta davido na kumleta Dar na ndiye yy aliyefanikisha collaboration ya Diamond na davido na mwisho jamaa ana biashara zake Rwanda. Alafu na nyie huyu dem kawageuza misukule, yaani collabo zote za Diamond kasimamia Ruge, mbona anashindwa kufanya hivyo kwa wasanii wake wa THT akina Lina na Barnaba. Mimi naichukia sana Man utd lkn ukweli man ana UEFA tatu, lkn mimi Arsenal sijawahi kuchukua UEFA, lkn huyu dem kila kitu kwake anachofanya Diamond ni NEGATIVE mimi MPAKA NAJIULIZA DIAMOND ALIMFANYA NINI HUYU, si kwa chuki hizi za kubadili uwongo kuwa mkweli. Sallam ana nguvu sana number 1 original imepigwa Trace na MTV, baada ya sallam, kwani Seven aliweka fitina South, sallam akawatumia trace Nigeria na hatimae ndio Trace, MTV na channel O za South Africa wakaanza kupiga. Acheni KUWA MISUKULE YA MANGI kila kitu ndio, Mange ni MPUUZI, HOPELESS we mtu upo marekani unashindwa kupata kibarua cha kufanya, unapiga umbeya yaani bora yule dada wa uswazi anayechoma vitumbua, kuliko kusikiliza upuuzi wa huyu. Narudia kwa wale wachimbaji HIVI DIAMOND PLATNUMZ ALIMFANYA NINI MANGE MAANA SI KWA CHUKI HIZI. Anatumtukana rais wetu dikteta, wakati yy analazimisha watu wafikiri kama yy kwani hataki kukosolewa, sasa huo nao si udikteta, MPUUZI HUYU NA HAO WAPUUZI WENZAKE WANAOMFOLLOW NDIO WANAMPA KICHWA.
Kweli kabisaa
 
Hapo kwny collabo collection kapuyanga huyo Mange kamjua leo Sallam hajui huyu jamaa ndo alikuwa nyuma ya mafanikoo ya Mr Nice, mbona hata Ommy ashalalamika kuwa Sallam ndo alimnyima collabo ya Davido akampa Diamond, Sallam ana connection sana ndo alikuwa anawaletea wasanii clouds mda wa Fiesta
 
Back
Top Bottom