Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Lazima watakimbilia huku mkuu kwa sababu chakula chao pendwa cha pili baada ya chips yai ni ubuyu kama huu!![emoji1]Wanaume wenzangu wa dar tusichangie hili...... Ni aibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima watakimbilia huku mkuu kwa sababu chakula chao pendwa cha pili baada ya chips yai ni ubuyu kama huu!![emoji1]Wanaume wenzangu wa dar tusichangie hili...... Ni aibu
Wanapasha moto kiporoKuna tofauti kati ya kufunga ndoa na kubariki ndoa.....ukizini na mwanamke nyie tayar ni mwili mmoja.....huyo boss wa mawingu hapo hafungi ndoa bali anabariki ndoa coz hata hvyo wanafanya cohabitation
Mi mwenyewe sijaelewa, ila mchezo nauona live bila cheche...,Kwani wewe ni wawapi mkuu?
Siamini uchawi kwenye mapenzi, labda ni mwanamke anaemsikiliza sana. Kama Tanga kungekuwa na ufundi huo mbona wengine hawaolewi?Ila Zamaradi Ni mvumilivuu Na mjanja amevumiliaaa weweee nyumba ndogo Na vimeo vyote. Leo anaolewa yy sio bure kamwendea TANGA
Weeeeeee!! Mbele ya PESA hata wewe SKY utasikilizaaa..Si umeyaona ya Shamsa Ford Na Pua ngumu ndo awe Huyo Short cheeses....hapana Aiseee..Ni Pesa walizonazo zikawafanya wakawa Watumwa Na Submissive.Siamini uchawi kwenye mapenzi, labda ni mwanamke anaemsikiliza sana.
Anatumia akili kuliko moyo!!Ila Zamaradi Ni mvumilivuu Na mjanja amevumiliaaa weweee nyumba ndogo Na vimeo vyote. Leo anaolewa yy sio bure kamwendea TANGA
Kumbe hewala bwana inalipa ehh. Na share za mawing lazima Juju apate.Weeeeeee!! Mbele ya PESA hata wewe SKY utasikilizaaa..Si umeyaona ya Shamsa Ford Na Pua ngumu ndo awe Huyo Short cheeses....hapana Aiseee..Ni Pesa walizonazo zikawafanya wakawa Watumwa Na Submissive.
[emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] pesa ndo mpango mzimaWeeeeeee!! Mbele ya PESA hata wewe SKY utasikilizaaa..Si umeyaona ya Shamsa Ford Na Pua ngumu ndo awe Huyo Short cheeses....hapana Aiseee..Ni Pesa walizonazo zikawafanya wakawa Watumwa Na Submissive.
Kumbe hewala bwana inalipa ehh. Na share za mawing lazima Juju apate.
Yaah Ila mwisho wa siku unajikuta unampenda na pale kwa Ruge kafikiria akaona bora ajibebee mimba!Hiyo nayo ni shughuli, lakini wanasema wanawake tunaweza kujilazimisha lakini wanaume hawawezi, kama hakupendi bwana hakupendi.
Hiyo nayo ni shughuli, lakini wanasema wanawake tunaweza kujilazimisha lakini wanaume hawawezi, kama hakupendi bwana hakupendi.
Hivi yule mtoto wa Malinzi ni yupi?, sio huyo?Ni Kigoma, Mmanyema.
Mzee wa harakati kumbee hii mitaa ya lina Nifah,Nifah,Warumi....huwa unapitaaa..karibu akina BAK hawa jambo Mtaa ilee..waambie wasilete Fyoko fyokoDar kuna vituko!