Ubuyu wa J'Mosi 03/09/2016

Ubuyu wa J'Mosi 03/09/2016

Ila Zamaradi Ni mvumilivuu Na mjanja amevumiliaaa weweee nyumba ndogo Na vimeo vyote. Leo anaolewa yy sio bure kamwendea TANGA
 
Siamini uchawi kwenye mapenzi, labda ni mwanamke anaemsikiliza sana. Kama Tanga kungekuwa na ufundi huo mbona wengine hawaolewi?
 
Siamini uchawi kwenye mapenzi, labda ni mwanamke anaemsikiliza sana.
Weeeeeee!! Mbele ya PESA hata wewe SKY utasikilizaaa..Si umeyaona ya Shamsa Ford Na Pua ngumu ndo awe Huyo Short cheeses....hapana Aiseee..Ni Pesa walizonazo zikawafanya wakawa Watumwa Na Submissive.
 
Kumbe hewala bwana inalipa ehh. Na share za mawing lazima Juju apate.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] pesa ndo mpango mzima
 
Kumbe hewala bwana inalipa ehh. Na share za mawing lazima Juju apate.

Hewala inalipa mno aaahaaaa unajifanya mjinga bwana anaangaika Weeh mwisho wa siku anakuona wewe wa maana huko kwengine mitusi tu...we kumbe akili kumkichwa...we unafikiri angeamua na yeye kua na hasira maisha yale angeyapata wp so bora kua mpole yako yakuendee
 
Hiyo nayo ni shughuli, lakini wanasema wanawake tunaweza kujilazimisha lakini wanaume hawawezi, kama hakupendi bwana hakupendi.
Yaah Ila mwisho wa siku unajikuta unampenda na pale kwa Ruge kafikiria akaona bora ajibebee mimba!
Huyoo anayeya!!
 
Back
Top Bottom