DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
We muongo Sana labda km 4.1. Ya chupi !Kwa hiyo unataka kuniambia nilipoteza nafasi hiyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We muongo Sana labda km 4.1. Ya chupi !Kwa hiyo unataka kuniambia nilipoteza nafasi hiyo?
Ungejaribu nafasi yako. Next time kama hauna kipingamizi cha kutokuhudhuria usisite kwenda.Ndio sikuhudhuria ilikua ni Assistant Lecturer (Material Science and Engineering).
Nilijikuta tu sihitaji kuhudhuria. Nikaamua kutulia zangu.
Sasa unashangaa 4.1 mbona ni ndogo sana kwa bachelor. Nmekueleza masters nina 4.21.We muongo Sana labda km 4.1. Ya chupi !
Hakika ungekuja no matter you thought was just a wasting time. Atafutae hachoki, akichoka ameshapataKwa hiyo unataka kuniambia nilipoteza nafasi hiyo?
Ni kweli kabisa. Ila sijiskii amani kufanya hiyo kazi ya ulecturer. Amani ipo kwenye biashara zaidi na siasa.Hakika ungekuja no matter you thought was just a wasting time. Atafutae hachoki, akichoka ameshapata
Sasa si ungejipeleka tuGPA yangu ya 4.2 ingefaa kabisa kufundisha ila nimeshakuwa na mambo mengi
Next time nitajaribu. Au labda vyuo vya private kidogo vitanipa hata muda wa kufanya mambo yangu.Ungejaribu nafasi yako. Next time kama hauna kipingamizi cha kutokuhudhuria usisite kwenda.
We ni female hapo Inasoma male??Sasa unashangaa 4.1 mbona ni ndogo sana kwa bachelor. Nmekueleza masters nina 4.21.
View attachment 2400684
😀😀😀😀😀Sio kweli bhana.G.P.A za chupi Mtu anaogopa kwenda katika interview kwa kuhofia kuumbuka
Wapi bossWe ni female hapo Inasoma male??
Kila la kheriNext time nitajaribu. Au labda vyuo vya private kidogo vitanipa hata muda wa kufanya mambo yangu.
Katika hiyo transcriptWapi boss
Hizo transcript zisikutishe boss. Transcript inatakiwa ikupe uwezo wa kuanzisha biashara yako mwenyewe ili uwaajiri wenzako na sio kutegemea ajira.Katika hiyo transcript
Ok we si ni KE?Hizo transcript zisikutishe boss. Transcript inatakiwa ikupe uwezo wa kuanzisha biashara yako mwenyewe ili uwaajiri wenzako na sio kutegemea ajira.
Nilighairi mwaka jana baada ya ofisi kuweka mishahara mipya ambao ni sawa na assistant lecturerSasa si ungejipeleka tu
Hapo sawa boss. Lakini usitulie na mshahara mfukoni unatakiwa kuwekeza kwenye biashara pia.Nilighairi mwaka jana baada ya ofisi kuweka mishahara mipya ambao ni sawa na assistant lecturer
PhD ina GPA?Nakumbuka kipindi nikiwa idara ya uchumi UDSM hata masters ni lazima upate GPA ya 4.0+. kazi za kufundisha ni lazima ufaulu ngazi zote isipokuwa Ph.D ambayo ni pass tu.
HongeraBSc 4.1, Masters 4.21
Niliitwa Nelson Mandela ila tulikua wengi. Watu 13 walihitaji watu wa nne. Nikaamua kutulia kimya.