Nasafi zinakuwa re-advertized Kwa sababu mbalimbali.
Huenda wasailiwa walifeli,
Au watu wenye vigezo ni wachache.
Kama kufeli, mbona nafasi za TA haziwi re-advertized sana kama Assistant lecturers au lecturers? Ina maana assistant lecturers/lecturers wanafeli sana kuliko TAs.
Kwa mtazamo wangu, Kwa nafasi za Assistant lecturers au lecturers waombaji ni wachache. Tena sio kila mwenye masters au PhD ana ufaulu unaotakiwa.
Pia unakuta mtu ana GPA mzuri, kasoma Hadi PhD lakini yupo taasisi ina mshahara mzuri, so sio rahisi kuacha kazi hapo kuja kihangaika na wanafunzi.
Sio rahisi mtu asome Hadi PhD alaf awe hana kazi, lakini utaona eti taasisi inatangaza nafasi za lecturers sita nakuendelea, sio rahisi kupata hao watu..