Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
- Thread starter
- #41
Unajishughulisha na nini mkuu Sasa hivi?GPA yangu ya 4.2 ingefaa kabisa kufundisha ila nimeshakuwa na mambo mengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajishughulisha na nini mkuu Sasa hivi?GPA yangu ya 4.2 ingefaa kabisa kufundisha ila nimeshakuwa na mambo mengi
ahsante sana boss. ila akili inagoma kushika chaki. Inataka kuongoza tu na kusimamia.Hongera
Nalo hili ni neno boss. Ila nadhani, watu wanachoogopa ni ugumu wa ile kazi. Kazi za chuo zinahitaji kufanya tafiti na kuandika tena. Hakuna kupumzika hapo tena.ISHU NI CONFIDENCE WATU WANA GPA KUBWA ILA KUSIMAMA MBELE YA UMATI WA WATU TU ATA PRESENTATION ZA CHUONI UNAKUTA MTU MUONGEAJI MZURI KISTORY ILA KUREPRESENT NI KIPENGELE KWAIYO WENGI HAWANA UWEZO HUO WA KUSIMAMA MBELE YA UMATI UKIWA MWALIMU WA CHUO SALARY INAKUA JUU
Kafundishe Makolo wenzioGPA yangu ya 4.2 ingefaa kabisa kufundisha ila nimeshakuwa na mambo mengi
😀😀😀😀Kafundishe Makolo wenzio
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ona hii takataka. Kwa vile tunashabikia mpira unadhani tupo level 1. Mimi sio mwenzio broKafundishe Makolo wenzio
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa sisi ambao hatuna ishu za maana kitaa tunaziitaji sana hizo kazi za TAahsante sana boss. ila akili inagoma kushika chaki. Inataka kuongoza tu na kusimamia.
Iyo hata haisumbui boss, ni kujiamini tuISHU NI CONFIDENCE WATU WANA GPA KUBWA ILA KUSIMAMA MBELE YA UMATI WA WATU TU ATA PRESENTATION ZA CHUONI UNAKUTA MTU MUONGEAJI MZURI KISTORY ILA KUREPRESENT NI KIPENGELE KWAIYO WENGI HAWANA UWEZO HUO WA KUSIMAMA MBELE YA UMATI UKIWA MWALIMU WA CHUO SALARY INAKUA JUU
Hukua na Nia Nayo. 13 Kwa nafsi 4... Halafu we ni ke... Ungependelewa tu Hasa kma ungeingia oral...BSc 4.1, Masters 4.21
Niliitwa Nelson Mandela ila tulikua wengi. Watu 13 walihitaji watu wa nne. Nikaamua kutulia kimya.
Of course ni changamoto kiasi ila kuongea mbele ya watu ambao unajua unawazidi mamlaka kuna ile hali ya kuhisi you're superior to them. Hapo confidence ndio inapokuja.ISHU NI CONFIDENCE WATU WANA GPA KUBWA ILA KUSIMAMA MBELE YA UMATI WA WATU TU ATA PRESENTATION ZA CHUONI UNAKUTA MTU MUONGEAJI MZURI KISTORY ILA KUREPRESENT NI KIPENGELE KWAIYO WENGI HAWANA UWEZO HUO WA KUSIMAMA MBELE YA UMATI UKIWA MWALIMU WA CHUO SALARY INAKUA JUU
Vyuo vya serikali ni 3.8 Bachelor na 4.0 Masters. Kwa Private sijajua vigezo vyaoKwa mfano mtu ana 3.7 bachelor
Akisoma masters akapata lets say 4.2
Vp anawez kuwa ass lecture
Kuna baadhi ya taasisi wanaanza kuchukua 3.5 kama IAE, DIT, IFM, CBE, MNMA, n.k.Kwa mfano mtu ana 3.7 bachelor
Akisoma masters akapata lets say 4.2
Vp anawez kuwa ass lecturer?
Uliogopa bure io ni ratio nzuri tu Kila nafasi mnagombania watu 3. Ukiitwa utumishi nafasi 40 watu 5,000 itakuwaje???BSc 4.1, Masters 4.21
Niliitwa Nelson Mandela ila tulikua wengi. Watu 13 walihitaji watu wa nne. Nikaamua kutulia kimya.
Kwenye post zote zilizopitia utumishi nilizoziona mimi ni kwamba kwa vyuo vikuu undergraduate GPA iwe 3.8 na masters GPA 4.0 na kwa Taasisi nyingine kama TIA kwa undergraduate GPA iwe 3.5+ na masters ni GPA 4.0+ nadhani hizo ndo ranks za serikali sijawahi kuona kazi ya kufundisha kwenye Hivi vyuo au Taasisi ya serikali vinataka GPA.3.9+ kwa masters sidhani kwakweli.Wanataka GPA ya 3.9 minimum qualification ndio scheme of service inavyotaka sio 3.5
Upo sahihi mkuuKwenye post zote zilizopitia utumishi nilizoziona mimi ni kwamba kwa vyuo vikuu undergraduate GPA iwe 3.8 na masters GPA 4.0 na kwa Taasisi nyingine kama TIA kwa undergraduate GPA iwe 3.5+ na masters ni GPA 4.0+ nadhani hizo ndo ranks za serikali sijawahi kuona kazi ya kufundisha kwenye Hivi vyuo au Taasisi ya serikali vinataka GPA.3.9+ kwa masters sidhani kwakweli.
Hicho kinanifanya nimuone muongo. Hiyo idadi ni ndogo sana. Kuna nafasi 4 waliitwa watu 100Hukua na Nia Nayo. 13 Kwa nafsi 4... Halafu we ni ke... Ungependelewa tu Hasa kma ungeingia oral...