Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
Vyuo viko mara mbili. Vyuo Vikuu wanachukua kuanzia 3.8 GPA Bacheor. But Vyuo vya Kati Wanaanzia 3.5 BachelorVyuo vya serikali ni 3.8 Bachelor na 4.0 Masters. Kwa Private sijajua vigezo vyao
Na vyuo vingi tu wamereadvertize nafasi kibao tu, acha tuone baada ya kureadvertize Kam watapata waombajiKweli MUCE na DUCE wamere-advertized
Ina maana hakuna wenye sifa au shida i wapi?Na vyuo vingi tu wamereadvertize nafasi kibao tu, acha tuone baada ya kureadvertize Kam watapata waombaji
Nafasi zinakuwa re-advertized kwa sababu mbalimbali.Ina maana hakuna wenye sifa au shida i wapi?
Maelezo mazuri kabisa...kwahiyo jambo kubwa ni kukosa wenye sifa zinazohitajika.Nasafi zinakuwa re-advertized Kwa sababu mbalimbali.
Huenda wasailiwa walifeli,
Au watu wenye vigezo ni wachache.
Kama kufeli, mbona nafasi za TA haziwi re-advertized sana kama Assistant lecturers au lecturers? Ina maana assistant lecturers/lecturers wanafeli sana kuliko TAs.
Kwa mtazamo wangu, Kwa nafasi za Assistant lecturers au lecturers waombaji ni wachache. Tena sio kila mwenye masters au PhD ana ufaulu unaotakiwa.
Pia unakuta mtu ana GPA mzuri, kasoma Hadi PhD lakini yupo taasisi ina mshahara mzuri, so sio rahisi kuacha kazi hapo kuja kihangaika na wanafunzi.
Sio rahisi mtu asome Hadi PhD alaf awe hana kazi, lakini utaona eti taasisi inatangaza nafasi za lecturers sita nakuendelea, sio rahisi kupata hao watu..
YeahMaelezo mazuri kabisa...kwahiyo jambo kubwa ni kukosa wenye sifa zinazohitajika.
OkNa vyuo vingi tu wamereadvertize nafasi kibao tu, acha tuone baada ya kureadvertize Kam watapata waombaji
Kuna baadhi ya vyuo na post hazipatikana watu.. Sasa ndo watajua hawajui mwaka huuNa vyuo vingi tu wamereadvertize nafasi kibao tu, acha tuone baada ya kureadvertize Kam watapata waombaji
Nadhani Kuna Sheria inayowaongoza kama wanaohitajika hawakupatikana wafanye nini.Ok
Kuna baadhi ya vyuo na post hazipatikana watu.. Sasa ndo watajua hawajui mwaka huu
Masters Ni 4.0Wanataka GPA ya 3.9 minimum qualification ndio scheme of service inavyotaka sio 3.5
Muda wake ushapitqNaombeni matangazo hayo ya assistant lecturer waliyo readvertise niombe na mimi.
Muda umeishaNaombeni matangazo hayo ya assistant lecturer waliyo readvertise niombe na mimi.
Kazi kwelikweliUdsm nao wamere_advertize.
Kwenye?