Uchafu uliokithiri kwa wanaume na wanawake - njooni turekebishane!

Ukiona mwanaume wako anakuvaa mazima kabla ya wewe kujipiga maji ujue anakujua, anaujua usafi wako. Kuna wanawake hawana shida hata asipooga bado kitenesi kipo poa tu.
Kabisa, nafikiri tunatofautiana maumbile
 
Sawa, asante kwa somo πŸ™Œ πŸ‘
 
Mi nashauri wanawake wawe wanaoga mara mbili kwa siku.
Yaani asubuhi na jioni/ usiku.

Sasa unakuta kuna mwanamke anakata siku mbili hajagusa maji surelyπŸ€”
Ushauri mzuri, mwanamke kutooga kwa siku mbili ni uchafu uliopitiliza.
 
Bro tena πŸ˜… ?
Uliwezaje kufanya siri? mlikua mnakutanaje?
Unajua haya mambo we acha tu,yeye alikuwa anatatambaa so anakuja mpaka sehemu fulani bako mie nilifikia huko karibu na katandala,namuendea nambeba mabegani hadi ndani,humo tulikuwa tunaishi watu 2 tu wote wanaume na buyo mwenzangu alikuwa baharia hatari
 
Unakuwa na confidence kiasi gani mpaka unafeel free kufanya sex ofisini. Imenishangaza sana, naona unaendeleza record wewe ni 🐐
Sasa mbona hili halina hata maajabu.
Kwamba wewe mkeo hawezi kuja ofisini kwako ukaichapa fasta fasta?
 
Daaah, nimekunyanyulia mikono juu πŸ™Œ πŸ™Œ πŸ™Œ
 
Duuh..... muoshe shemeji kabla ya kwichikwichi mshauri muende bafuni.

Muoshe chini ya pumbu maana pakiachwa panaharufu kali saana na kuchamba atumie maji sio tissue tu.
Kuna ile unakutana na mtu unajaribu kuongelea usafi kwa mafumbo ili apate tu idea huyu dada kwani amenionaje anaropoka uzuri mi sina kikwapa, wala sina harufu dah! Afu akinyanyua mkono ni msiba kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…